Manka mushi

Manka mushi

madeinmusoma

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
326
Reaction score
391
Wachaga hebu acheni kunichanganya... hivi akina MANKA MUSHI wapo wangapi ? Kwani ukiitwa manka baba yako ni lazima aitwe mushi ? Mpaka sasa hivi nawajua akina Manka Mushi kama sabini hivi !!!
 
Hao ni mapacha walzaliwa cku moja wapo 840 na c 70 kama ulivyonkasema
 
MANKA ni mtoto wa pili wa kike kuzaliwa
Kwenye familia haijalishi kama amepewa Jina lingine lakini hata kama analo Jina la ubatizo na la nyumbani atakuwa akiitwa MANKA sababu ya namba yake kuzaliwa na KEKUU ni mtoto wa kwanza wa kike kuzaliwa.

Ila MUSHI ni jina la Ukoo na huu ni ukoo mkubwa sana ila MUSHI wengi ni WAOROMBO japo pia clan nyingine za kichagga wanao MUSHI pia.
 
Hapo kwenye bold ni uongo mtupu, labda ulimaanisha Machame na si Rombo!
 
Hata Rombo MUSHI wapo wengi mnama mbaya kabisa.
Labda Rombo ninayoijua mimi ni tofauti na Rombo unayoifahamu wewe.Rombo unayoifahamu wewe ni ya kusimuliwa kwenye vijiwe vya kucheza pooltable ila ninayoifahamu mimi ni ile ya kuishi kwa mjomba pale kwa Maangulwa! Kwa miaka 22 niliyoishi KwaMaangulwa sijasikia ukoo wa Mushi, labda Moshi.
 
naunga mkono hoja kwa rombo hakuna ukoo mkubwa eti mushi

Labda Rombo ninayoijua mimi ni tofauti na Rombo unayoifahamu wewe.Rombo unayoifahamu wewe ni ya kusimuliwa kwenye vijiwe vya kucheza pooltable ila ninayoifahamu mimi ni ile ya kuishi kwa mjomba pale kwa Maangulwa! Kwa miaka 22 niliyoishi KwaMaangulwa sijasikia ukoo wa Mushi, labda Moshi.
 
Halafu wale kina Mushi mafundi saa wote siku hizi wamekuwa mafundi simu, kaazi kweli kweli. Kuna Mushi mmoja pale mtaa wa Uhuru karibu na Keys Hotel tangazo lake linasomeka "TUNATENGENEZA SIMU KWA NJIA YA COMPUTER", chezea kina Mushi wewe!
 
Napenda majina ya kiafrika we acha, naomba demu yoyote hapa JF ajitokeze tuzae angalau Manka Chapa Nalo Jr mmoja.
 
Kweli tupu aisee umenikumbusha kwamaangulwa je shimbi road kwamatushumye na kanisa la kbaru ushiri au pale keni mengeni
 
BUSTER, Shimbi ninayoikumbuka ni shimbikwashangali, pia mitaa mingine iliyopo kwenye harddisk yangu ni isiakwa farahani, shiakwamerinyo, Natamani sana kufika huko siku nyingi sijaenda!Nina hamu ya kunywa wari kwenye shori.
 
Last edited by a moderator:
Umeambiwa Manka hapatikani mpaka Kekuu apatikane.
Kwa hiyo mpateni kwanza kekuu,ndio mnaweza kumpata Manka
Napenda majina ya kiafrika we acha, naomba demu yoyote hapa JF ajitokeze tuzae angalau Manka Chapa Nalo Jr mmoja.
 
Hivi hii mada ,hapa ndio ukumbi wake husika?yaani jokes na udaku?
 
MANKA ni mtoto wa pili wa kike kuzaliwa
Kwenye familia haijalishi kama amepewa Jina lingine lakini hata kama analo Jina la ubatizo na la nyumbani atakuwa akiitwa MANKA sababu ya namba yake kuzaliwa na KEKUU ni mtoto wa kwanza wa kike kuzaliwa.

Ila MUSHI ni jina la Ukoo na huu ni ukoo mkubwa sana ila MUSHI wengi ni WAOROMBO japo pia clan nyingine za kichagga wanao MUSHI pia.

Hapo kwa Mushi wa Orombo napinga mkuu,nijuavyo mimi:-

-Mrosso,Asenga,Tesha,Lamwai,Laswai,Tarimo = WAROMBO.

Mushi,Nkya,Saro,Lema n.k = WAMACHAME.
 
Umeambiwa Manka hapatikani mpaka Kekuu apatikane.
Kwa hiyo mpateni kwanza kekuu,ndio mnaweza kumpata Manka

Oh, sawa, lakini lengo ni apatikane binti aitwae Manka Chapa Nalo Jr, I like the name
 
Back
Top Bottom