Wenyeji wa Kigoma-ujiji walivyo!

PSYCHOLOGY

Senior Member
Feb 10, 2011
177
14
habari zenu JF!
Nmewahi kusafir nao hawa ndugu zetu...maeneo mengi..sifa nlizoziona ni wakarimu ila wanajiona/kujisifia mno!
Wawaonaje au wawajuaje?
Nimewakilisha

wenyewe kgm tunapaita mokil mobimba, watu ni wajuaji hakuna mfano-wanasema kg hatoki fara, hawana roho mbaya

Ujiji limetokana na jina la mzee mmoja maarufu alikuwa anaitwa Kajiji au Kwa Kajiji ndio likazaa neno Ujiji, na ziwa Tanganyika limetokana na samaki yule anayepiga shoti ambaye alikuwa anaitwa matanga nyika.

Mbona nasikia eti hakuna ajuaye asili ya neno TANGANYIKA?

Hizo ni sifa ambazo waweza kuwa nazo watu kutokea maeneo yeyote duniani. Inategemea na utamaduni wao. Nawapenda Ndugu zangu wa Kigoma-Ujiji. Wangekua na skuli nyingi Nchi hii ingekeua na watu Vichwa vizuri. Hujua kusimamia hujja. Wanajiamin japo wanabanwa kutoa mawazo zao.

Ujiji ni pazuri sana na kwa Tanzania ni moja ya maeneo ambapo utamaduni wa asili ya Tanzania unaendela sana. Watu kule wanapenda nchi yao (wengi ni CCM haswa mtaa wa livingston) na kama walivo sema wengine hapo juu sio wasomi sana ila ni waungwana na wastaarabu which sometimes is better.
Babu yangu kazikwa pale makaburini, next to the road inayo peleka karuta...
Pale pale Ujiji kuna soko ambalo lina historia kubwa na yakusikitisha sana: walikua wanauzwa mababu zetu kwenye jukwaa ka watumwa (leo nadhani ni close to mahakama pale). Utaona kuna njia ndefu ina mihembe inapeleka tabora, ndio walikua wanapitia hapo, from tabora dar, alafu Zanzibar kwenye soko kubwa la watumwa.
Kuna waarabu wengi wanaishi katika mid secular community yao (wanatembeleana wao kwa wao) ila wanaume wanajichanganya sana tu.

Watu wa Ujiji wanapenda sana kujisifia. Ukipita mitaani huchelewi kukuta kibao kimeandikwa "Mganga maarufu toka Ujiji Kigoma" kana kwamba akiandika tu kuwa katoka Kigoma hataaminika. Watu wa Buzeba Zeba bana!

Ujiji ni pazuri sana na kwa Tanzania ni moja ya maeneo ambapo utamaduni wa asili ya Tanzania unaendela sana. Watu kule wanapenda nchi yao (wengi ni CCM haswa mtaa wa livingston) na kama walivo sema wengine hapo juu sio wasomi sana ila ni waungwana na wastaarabu which sometimes is better.
Babu yangu kazikwa pale makaburini, next to the road inayo peleka karuta...
Pale pale Ujiji kuna soko ambalo lina historia kubwa na yakusikitisha sana: walikua wanauzwa mababu zetu kwenye jukwaa ka watumwa (leo nadhani ni close to mahakama pale). Utaona kuna njia ndefu ina mihembe inapeleka tabora, ndio walikua wanapitia hapo, from tabora dar, alafu Zanzibar kwenye soko kubwa la watumwa.
Kuna waarabu wengi wanaishi katika mid secular community yao (wanatembeleana wao kwa wao) ila wanaume wanajichanganya sana tu.

Yah ni kuzuri sana!!

IMG-20110622-00182.jpg IMG-20110622-00183.jpg IMG-20110622-00185.jpg

Ujiji ni pazuri sana na kwa Tanzania ni moja ya maeneo ambapo utamaduni wa asili ya Tanzania unaendela sana. Watu kule wanapenda nchi yao (wengi ni CCM haswa mtaa wa livingston) na kama walivo sema wengine hapo juu sio wasomi sana ila ni waungwana na wastaarabu which sometimes is better.

Babu yangu kazikwa pale makaburini, next to the road inayo peleka karuta...

Pale pale Ujiji kuna soko ambalo lina historia kubwa na yakusikitisha sana: walikua wanauzwa mababu zetu kwenye jukwaa ka watumwa (leo nadhani ni close to mahakama pale). Utaona kuna njia ndefu ina mihembe inapeleka tabora, ndio walikua wanapitia hapo, from tabora dar, alafu Zanzibar kwenye soko kubwa la watumwa.

Kuna waarabu wengi wanaishi katika mid secular community yao (wanatembeleana wao kwa wao) ila wanaume wanajichanganya sana tu.

Kweli unafaa kua mwana historia. Nasikia mtaa wa Livingstone kuna kaburi la mkono wa marhuu Dr David Livingston au ni sehem tu aliyokua akiishi muda huo?
Kigoma imehifadhi kumb kumb nyingi za wakolon lakin haziendelezw kuhifadhiwa ili vizaz vifaham. Pale Skuli ya karura kulikua Magofu muhim ya hawa wamishionari lakin wameyatelekeza na kubomoka! Imebakia lile kanisa close na kituo kidogo/kikubwa cha polisi. Kwa chini yake palikuepo kisima maarufu cha maji...sijui historia yake...pia mpaka sasa kama bado kipo!
Ile miembe sijui kama ina mikakati ya kupandwa mingine ili kuendeleza kumbu kumbu...maana ipo kama ile ya Mkoani Tabora kama unaenda kutokea stesheni. Jamani huko kuna balaa gani?

Ujiji here I come.....wapi wenyeji wa ujiji......

Jamaa yangu kanipa nitazame hapo Facebk UJIJI YETU.

Wenyeji wa Kigoma-Ujiji ni wakarimu na wasio na makuuu pia neno Tanganyika limetokana na samaki wawili wapatikano katika ziwa Tanganyika ambao ni Tanga na Nyika huyu nyika hupiga shoti mtu anapo mkamata akiwa hai au hata ukitumia kitu chenye unyenyevu au chuma mithili ya kisu lazima urushwe na shoti yake

Hivi Ronaldo naye si ametokea ujiji? Kwa wale mabazazi lazima watakuwa wanamfahamu huyu

Hawa samaki aina ya Nyika noma, wana shoti ile mbaya kweli! Humkamati hivihivi mpaka usiwe na unyevunyevu au umkamate na kitu kisichopitisha umeme!

Ujiji ni pazuri sana na kwa Tanzania ni moja ya maeneo ambapo utamaduni wa asili ya Tanzania unaendela sana. Watu kule wanapenda nchi yao (wengi ni CCM haswa mtaa wa livingston) na kama walivo sema wengine hapo juu sio wasomi sana ila ni waungwana na wastaarabu which sometimes is better.
Babu yangu kazikwa pale makaburini, next to the road inayo peleka karuta...
Pale pale Ujiji kuna soko ambalo lina historia kubwa na yakusikitisha sana: walikua wanauzwa mababu zetu kwenye jukwaa ka watumwa (leo nadhani ni close to mahakama pale). Utaona kuna njia ndefu ina mihembe inapeleka tabora, ndio walikua wanapitia hapo, from tabora dar, alafu Zanzibar kwenye soko kubwa la watumwa.
Kuna waarabu wengi wanaishi katika mid secular community yao (wanatembeleana wao kwa wao) ila wanaume wanajichanganya sana tu.
Ila kule maeneo ya kagera wale waseminari wa ujiji wameacha madoa mengi sana, waseminari balaa usiwape nafasi, wanaweza kukuzalishia binti zako wote

habari zenu JF!
Nmewahi kusafir nao hawa ndugu zetu...maeneo mengi..sifa nlizoziona ni wakarimu ila wanajiona/kujisifia mno!
Wawaonaje au wawajuaje?
Nimewakilisha

Duh, hii sredi ya zamani lakini leo ndo nmeifuma. Imekosa wachangiaji kabisa.
Psy, naona kama unatuonea tu, mbona mimi sioni hayo majivuno? Au kwa kuwa nyani haoni... lake!

Mwisho, kweli sioni cha kujivunia kule kwetu? Naona ni pachovu na pametelekezwa na kusahaulika. Sioni la kujivuna ni tabia ya mtu tu

Back
Top Bottom