BREAKING NEWS: Matokeo kidato cha nne hatimae out!!

Mwembebasha

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2013
Posts
1,424
Reaction score
406
Ni matokeo ya mtihani wa mwezi kwenye shule ya kata hapa jirani yetu. We ulifikiri nini? Mwangalie kwanza alivyotoa mimacho!!!

Samahani lakini.......
 
Wewe utakuwa umezaliwa tarehe moja, mwezi wa nne (01/04 /.....) haha haha haha haha!
 
😂😂😂😂😂😁😁😁😁😁
 
Ni matokeo ya mtihani wa mwezi kwenye shule ya kata hapa jirani yetu. We ulifikiri nini? Mwangalie kwanza alivyotoa mimacho!!!

Samahani lakini.......
Hakuna hajaya samahani kwa sababu hili jukwaa ni la utani na vituko na mada yako ni ya kituko na utani hasa hapo nilipobold umetumia lugha za watoto wa primary!
 
Back
Top Bottom