JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ninaona Leo Vocha Zinatumika Sana, Na Mimi Nina Salio Kubwa Cwez Kumaliza, Unaweza Kunitumia Namba Yako Ya Voda, Ufurahie Pasaka
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Habarini wapendwa hope muwazima wote, Baada ya holiday ndefu kidogo now tumerud mzigoni tena. napenda kuwashukru member wezangu wawili Mafikizolo na loveissweet kwa kuja kunitembelea home tanga...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
kwa wale mtakao kuwa mnasherekea siwatakii pasaka njema. sijalipwa mshahara na sina hela na hata sijakaribishwa na mtu hadi sasa...hivyo nina hasira sana!
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Nawasalimu wote, Nimewamiss na ninawapenda sana ni mambo mengi tu nayafanya kwa sasa katika ujenzi wa taifa letu.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mara ya mwisho kukutana na wewe ilikuwa zaidi ya wiki mbili zilizopita tulikutana kwenye bar ya Mushi ilogi kahama ulikokuwa unafanyia kazi,siku hiyo uliongea mengi sana na mimi,uliniambia wazi...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wandugu habari zenu za wikiendi, Hii kitu naona kama vile inatuchosha kwa sababu imekuwa off and on tangu 25/3 sababu ikiwa ni kukatika kwa umeme maeneo ninayoishi -Bomang'ombe wilayani...
6 Reactions
100 Replies
6K Views
Ukiangalia posts za wana Jamiiforums leo asubuhi utacheka hadi ufe............sawa huwa kuna typo mistakes ila za leo asubuhi ni balaa....cha ajabu hata anayekosoa anakosea tena...loh. Hiki ni...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Wapendwa wanajf, Familia ya Bw na Bi Shieka inafurahi kuwatangazia kwamba vijana wao Ali na Mali wanatarajia kufunga harusi yao mwezi Agosti 2015. Wewe ukiwa mwanajf mwenye upendo na ushirikiano...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Wanachitchat, ile sehemu ya 4,Part4 ya "My Secret Nicknames and Impressions of Some JF Members" itawajia kesho Jumanne 7/4. Awali nilikosea kwa kusema itakuja Jumanne tarehe 8/4. Wahusika...
2 Reactions
1 Replies
849 Views
Karibu sana nyumbani kwangu tule pasaka..panda gari hadi mkonoo nauli buku,chukua gari la Engutoto nauli buku3,shukia kanisan pentekoste,panda bodaboda elfu 7 shukia kituo cha ujamaa utawakuta...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwalimu kauliza swali darasani wanafunzi wataje kazi za wazazi wao: TINA: mimi baba yangu mfanyabiashara mama yangu mwalimu. MWALIMU: Safi, haya juma JUMA: Baba yangu dereva mama yangu...
5 Reactions
14 Replies
5K Views
Nimefwatilia sana vita na migogoro inayotokea Afrika chanzo sio sisi wenyewe bali huwa ni mtu Wa tatu ...sisi wenyewe tunagombanishwa.. 1.Unamchukuliaje mtu anayekupa silaha alafu anashangaa...
0 Reactions
3 Replies
719 Views
DUNIA CHUNGU KIBOVU.Sijaenda chuo kikuu nikaitwa msomi hodari ila talanta ambayo Rabana humkabidhi binadamu anayeishi hapa duniani.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mzee mwalubadu kawa mtam.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Na kweli ulimwengu kuna malimwengu.Mzee mmoja kutoka Mwembetayari aliwaacha wengi kwa kicheko,yesemakana babu huyu alioga na acid kichwani usiku wa kuamkia leo.La kushangaza ni kuwa baada ya kuoga...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Vip marafk vip kuhusu pasaka?
0 Reactions
0 Replies
729 Views
Jana kama utani katika akaunt yangu ya Facebook nimetuma status"Asante Mungu nimepata mshahara wangu". Baada ya dk3 baba mwenye nyumba aka like��.
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Dear esteemed members, Yesterday in the course of contribution to the topic "Aliacha halafu karudi." I became involved in a verbal altercation with one of the members, each one striving to air...
13 Reactions
235 Replies
16K Views
Familia ya Avatar Sijuti wa Jf, inawakaribisha wana Jf wote kuchangia ujenzi wa nyumba yao utakao fanyika huko Mtwara mikindani kuanzia mwezi August 2015. Mchango wako wa hali na mali unahitajika...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
shauriyakoo endelea.kulidharau
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…