Watu wa Dar bwana....
Kabla hujaenda ukimpigia simu anakwambia karibu sana kaka ukija usiache kunitafuta...
Ukifika ukampigia kwanza anakuuliza umefikia wapi, unamwambia nipo Kawe, utaskia nipo...
Eid Mubarak kwa wadau wote wa Jamii forum Mungu awakubalie funga zenu na kuwafutia madhambi yote, In Shaa Allah.
Tusheherekee kwa Amani na utulivu,Sio mbaya tukijulishana vitakavyokuwa vinajiri...
Ushiboy alimtembelea girlfriend wake aliyemwalika msosi wa jioni. Ghafla, jioni ile bado akiwa kwa g,irlfriend
wake mvua ilinyesha kubwa sana na haikupungua kwa muda mrefu. Wazazi wa binti...
BOSS: Unataka kuanza na mshahara gani kwa Mwezi?
DOGO: 4 Million, Gari niwe najaziwa mafuta kila mwezi, nyumba ya kuishi nalipiwa kila kitu, yaani kodi, umeme na maji, matibabu na posho ya...
Kamanda nanihii ametoa wito kwa majambazi wote kujitokeza kwa ajili ya kuweka mkutano wa kuomba amani kati yao na 'geshi' la bholisi nchini...
Kamanda amesikitishwa sana na chitendo...
CNN Journalist: Russia was the first country to go to space and USA was the first country to land on the Moon. What will Africa do first?
President Mugabe: We will be the first to land on the...
habari wandugu.
hivi hawa warembo wamepotelea wapi?
lara 1 sioni akitupa ma stories humu siku za karibunu.. yaelekea kapata kazi mpya nini inayomkeep busy sana anakosa hata muda wa kuandika...
1. Yupo katikati ya ngazi kasahau anapanda au anashuka.
2. Alikuwa kitandani akasahau analala au anaamka.
3. Kashika chupi kwenye magoti kasahau anataka kuvaa au kuvua.
4. Yupo chooni kasahau...
Waoh!! Kati ya jambo nililofurahia leo basi ni hili..
angelita, rafiki yetu kufikisha miaka kadhaa!!
Ni jambo la kumshukuru sana Mungu haswaa kwenye Ulinzi wake mpaka hapo ulipofikia, Msichana...
Wapendwa,
Namshukuru sana Mola kwa kuniwezesha kufika siku hii salama..leo nagonga 27 nikiwa na afya pia nguvu tele.
Hakutakuwa na Bday party, inshallah mwaka mwingine tukijaliwa uzima...
Leo ndio siku iliyokua inasubiriwa kwa mwezi mzima hii ni tathmin fupi yangu ya leo yenye ukweli ndani yake sasa je....!!
Hata ukinuna sura ni yako
leo wamechinjwa vitoweo kama vifuatavyo...
Karibu wadau inawezekana tunapishana njiani au viwanja kama kibo, bahari beach, ndege beach, hisaje, fyatanga e.t.c.
Mimi nakaa Tegeta jirani na bar ya BM. Pia napenda sana kuogelea hasa weekend...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.