Nimechat na mdada mmoja kwenye simu kweli sauti ni balaa, nzuri mno nikafanya mpango nionane nae maana sauti ilinivuta, kwa kweli hakua anafanana na ile sauti.
Je, ni kweli hakuna uhusiano wa...
Just thinking...
Imagine umepewa chance ya kujiumbia mwanamke wako, ni kipi ungepunguza kwenye mwonekano wake wa sasa na au kuongeza awe mrembo zaidi ya wengine?
Ama kweli binadamu kamwe hawatoacha kusema hata ufanye jambo zuri kiasi gani, yapata mwaka sasa tangu ninunue kausafiri kangu aina ya Nissan Murano, ishu ni kwamba nimeanza kuckia majungu ya...
Goodmorning Wapedwa,
So leo, nimekumbuka msala wa mtu aliutoa humu JF nikaanza kucheka mwenyewe...eti it went like this...
huyo jamaa alitoa post humu JF kutafuta rafiki wa kike, dada wa watu i...
Habari zenu wanajamvi?
Najua watu wengi wanapenda kusherehekea siku zao za kuzaliwa, si mbaya japo japo kiuhalisia ni tarehe tu na mwezi ndio vinakuwa vimefanana ila siku si ileile.
Humu...
Habari zenu wapendwa,
Yaani mimi mwenzenu leo sijui nina tatizo gani, kila mtu leo ananikasirisha, hata sielewi ni nini, sijui watu wameamua kunijaribu?!. Halafu kibaya zaidi kila kitu leo...
Mara Kadhaa unaweza kukutana na ustaarabu huu wa Bongo:-
1. Kuulizwa "umeniletea zawadi gani?" hata kabla haujapewa pole ya safari kana kwamba alikupatia pesa umnunulie.
2. Kukutana na mtu...
Kijana mmoja huko Katavi amekunjana shati na mganga wa kienyeji baada ya kwenda kuaguliwa baada ya mambo yake kwenda mrama, mganga baada ya kupiga ramli.
Akamwambia anaona kuwa nyota aliyonayo ni...
Wana JF,
Am writing a certain novel ambayo sitaki ijulikane kwa sasa. Naomba mnisaidie kuhusu kile ninachofanya using this number 0713348035. Niko serious. Rabuka atawabariki kwa kujitolea...
Kelvin: I'm HUNGARY
Mom: Why don't you CZECH the fridge?
Kelvin: Ok I'm RUSSIAN fridge.
Mom: You'll also find some TURKEY in the fridge.
Kelvin: Yeah but its all covered in GREECE.
Mom: There...
Habari wana JF,
Kwanza kabisa ningependa tumshukuru Mungu kwa kutupa uhai na nguvu mpaka hivi sasa wote tuseme (amin)
Leo nimewaletea kastori ka ticha wa science na mwanafunzi wake...
Mishale...
Nakumbuka kipindi kile nikiwa mgeni humu basi nilikua navutika na discussion za MMU members after Jf party.
Basi nikatamani walau siku nikizinyaka nihudhurie hizo Jf party, but surprisingly...
Aisee hili tangazo ni zaidi ya vitimbwi, jamaa linaambiwa rivasi linapeleka mkono kwenye redio.
Ticha haamini mwanafunzi wake anachokifanya maana denti anakanyaga kama mashine ya unga, anashika...
MWALIMU MAGUFULI: Hey you, what is the formula of water?
MWANAFUNZI (Kwa kujiamini): h, i, j, k, l, m, n, o. sir.
MWALIMU MAGUFULI:(Kwa kufoka) Whaaat! I didn't teach you that!
MWANAFUNZI: Yes...
Walevi wawili wametoka kilabuni wakiwa chakari mida ya jioni.
Mlevi wa kwanza, akaokota kioo akasema halafu huyu jamaa kama namfahamu vile, sijui nimemuona wapi!
Mlevi wa pili akamwambia hebu...
Ndugu zangu,
Tangu nizaliwe sijawahi muona mjomba wangu mzazi na shangazi yangu mzazi, naskia wako Dar na wanaishi maisha mazuri. Mi nipo huku Tandahimba, naomba mwenye taarifa zao anijulishe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.