Eid Mubarak kwa wadau wote wa Jamii forum Mungu awakubalie funga zenu na kuwafutia madhambi yote, In Shaa Allah.
Tusheherekee kwa Amani na utulivu,Sio mbaya tukijulishana vitakavyokuwa vinajiri maeneo mbalimbali nchini.
Minal Faizeen ndugu na nakutakia kila la kheri na wewe kaka, naamini kuna events nyingi kwenye zoom zimetangazwa kwa wale watakaopenda kushiriki katika events hizo kusherehekea sikukuu hii.
Eid Mubarak kwa wadau wote wa Jamii forum Mungu awakubalie funga zenu na kuwafutia madhambi yote, In Shaa Allah.
Tusheherekee kwa Amani na utulivu,Sio mbaya tukijulishana vitakavyokuwa vinajiri maeneo mbalimbali nchini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.