Wito wa mkutano mkuu na majambazi wote katika jiji la Dar es salaam...

Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
19,743
10,072
Kamanda nanihii ametoa wito kwa majambazi wote kujitokeza kwa ajili ya kuweka mkutano wa kuomba amani kati yao na 'geshi' la bholisi nchini...

Kamanda amesikitishwa sana na chitendo walichowafanyia pale chitakichari..

Agenda zitazozungumziwa ni pamoja na kubadilishana experience za mbinu za kivita..

Ewe KakaJambazi, fika bila kukosa.

NB: Ukisoma taarifa hii mtaarifu na mhalifu mwenzio..
 
Back
Top Bottom