kabanga JF-Expert Member Dec 12, 2011 37,205 18,475 Jul 17, 2015 #1 waungwana nawakaribisha ubwabwa wa Eid, ila hakikisha unajiandaa vyema.... mahali ni nyumbani kwangu....
waungwana nawakaribisha ubwabwa wa Eid, ila hakikisha unajiandaa vyema.... mahali ni nyumbani kwangu....
Washawasha JF-Expert Member Aug 7, 2006 16,652 13,077 Jul 17, 2015 #2 twakaribia ami muda si mrefu. Nalog off
Kingfisher JF-Expert Member May 22, 2015 4,588 7,352 Jul 17, 2015 #3 kabanga said: waungwana nawakaribisha ubwabwa wa Eid, ila hakikisha unajiandaa vyema.... mahali ni nyumbani kwangu.... Click to expand... Location chief...matukio kama haya huwa hatukosi....kama kuna foleni tutatembea kwa miguu
kabanga said: waungwana nawakaribisha ubwabwa wa Eid, ila hakikisha unajiandaa vyema.... mahali ni nyumbani kwangu.... Click to expand... Location chief...matukio kama haya huwa hatukosi....kama kuna foleni tutatembea kwa miguu
kabanga JF-Expert Member Dec 12, 2011 37,205 18,475 Jul 18, 2015 Thread starter #4 Charaxes said: Location chief...matukio kama haya huwa hatukosi....kama kuna foleni tutatembea kwa miguu Click to expand... panda gari shuka goms, kisha chukua boda boda hadi mwisho kisha upatapanda
Charaxes said: Location chief...matukio kama haya huwa hatukosi....kama kuna foleni tutatembea kwa miguu Click to expand... panda gari shuka goms, kisha chukua boda boda hadi mwisho kisha upatapanda
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 269,632 697,795 Jul 18, 2015 #5 kabanga said: waungwana nawakaribisha ubwabwa wa Eid, ila hakikisha unajiandaa vyema.... mahali ni nyumbani kwangu.... Click to expand... kabanga Eid El Fitri najitahidi niwahi seat ya mbele Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kabanga said: waungwana nawakaribisha ubwabwa wa Eid, ila hakikisha unajiandaa vyema.... mahali ni nyumbani kwangu.... Click to expand... kabanga Eid El Fitri najitahidi niwahi seat ya mbele
Android JF-Expert Member Jul 24, 2012 970 1,207 Jul 18, 2015 #6 kabanga said: panda gari shuka goms, kisha chukua boda boda hadi mwisho kisha upatapanda Click to expand... nipo gomz hapa, maelekezo zaidi naomba
kabanga said: panda gari shuka goms, kisha chukua boda boda hadi mwisho kisha upatapanda Click to expand... nipo gomz hapa, maelekezo zaidi naomba
Mzee_2015 JF-Expert Member May 19, 2015 255 58 Jul 19, 2015 #7 basi itakua mtu anaenda kula nguvu zake