Ilikuwa hivi.
Maza: Honey subiri nikuandalie futari ili uwahi huko kikaoni
Mkulu: Usihofu baby futari huko huko wala usijali CC imejipanga
Maza: Jamani baby kama ni hao 38 si ungempa Wani...
Wanajamvi/chit-chat unapewa nafasi ya uraisi na mamlaka yote ndan ya masaa 24 utaacha heshma gani Bila kuingiza chama chako cha siasa???
sasa kama mm napewa mamlaka kama haya 1.natema mkwara...
Demu akiamua hupati mchezo hupati tu ata ufanye. Mbinu gani hupati, mbinu zao ni za kijasusi ujawahi kuona? Ukimuita move getto anakuja na wenzake wawili, basi mzee utaangalia Move huku umenuna...
Wakati niko primary nilikuwa najiuliza hivi mtu huwa inakuwaje mpaka anakuwa masikini yani miaka yote anashindwa kununua hata kagari kweli utoto ni utoto na mtu mzima dawa.
Jaman wanaume wenzang kuen makin xana na kipind hki cha karb na ckukuu kwan ukimtongoza mwanamke ni rahc xana kukubar me nakushaur kwa wakat huu we kuwa mpole tuu
# Mtoto : "Baba kwani mimi nimetoka wapi?
# Baba: "dah!! Mwanangu, mbona unaniuliza swali gumu hivyo? Ene Wei hebu kaa hapo nikuhadithie. Mimi na Mama yako siku moja wakati anatoka kazini...
Tusipende kutoa hukumu kwa vitu tusivyovijua.
Wakiwa katika garimoshi kuelekea Kigoma jamaa wa karibu miaka 28 akamwambia baba yake
Jamaa: Baba angalia miti inavyokimbia kwa kasi sawa naiona...
Wiki iliyopita nilikua maeneo ya Ludewa. nikaona nipite kwa sangoma chap chap ili na mimi nikirudi Dar nijenge gorofa Manzese.
Masharti niliyopewa yalinishinda.
Kwanza kabisa nisiwe na michepuko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.