Eid el fitir analysis

Eid el fitir analysis

MO11

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
19,698
Reaction score
42,013
Leo ndio siku iliyokua inasubiriwa kwa mwezi mzima hii ni tathmin fupi yangu ya leo yenye ukweli ndani yake sasa je....!!
Hata ukinuna sura ni yako
leo wamechinjwa vitoweo kama vifuatavyo

-kuku mil.kumi na sita mia nane ishirini na saba

-Bata elfu sabini na nne mia tano thelathini na saba

-kondoo mia saba themanini na tano

-Mbuzi laki sita na mia nne kumi na mbili

-ng'ombe milioni moja na laki tisa mia nne tisini na tano

-Kitimoto sasa hapa mtanisaidia nilichelewa machinjioni

-zimenyweka soda takribani kreti laki nne

-Bia situmii mtanihesabia wenyewe

Naomba nitoe pole kwa
-wewe dada uliyekua unategemea nikupigie simu unipige kizinga ila sijakupigia
pole sana

-wewe kaka unayepiga namba ya demu wako kisha hapatikani jua umeliwa simu sio mbovu wala nini watu wamefika dau wamembeba pole sana

-pole wewe kaka au wewe dada uliyegegedana leo kavu kavu uliyegegedana nae namjua yupo gridi ya taifa pole sana

-pole wewe uliyeibiwa leo najua ni ujinga wako ila pole sana

-pole sana wewe uliyelewa mpaka ukaangusha gari pole sana najua hizo ni bia za msimu

yote kwa yote mwenzenu mchana nimekula ugali dagaa sasa je nikidanganya nitapata faida gani enhee..!!
 
Kuna huyu manzi kazima simu toka jana usiku halafu leo mchana anatuma meseji eti simu iliisha charge hafu luku iliisha. Nimemwambia simu yangu haitakagi vimeo imemreject automatically.
 
Back
Top Bottom