ng'etuke ng'imbile
Member
- Jul 19, 2015
- 7
- 1
Hivi ni kweli kwamba baadhi ya wasichana siku hizi huwa wasafi wanapotafuta wanaume, wakipata tu ni shida utajuta kumjua.
NI KWELI?
NI KWELI?
Wengi wanapenda kupendeza lakini usafi usafi huo unawashinda. Mbele ya watu safi nenda anapoishi...utaogopa..
Anakuwa msafi kwenye viwalo papuchi inatema na hapo bado hujaingia room kwake na kamwe usitake kuijua harufu iliyopo ndani ya wigi
Ndo dada zetu lakini!!
Hiyo ni asili yake mchafu ila akitoka anapendeza unaona mtu amaizing kumbe hata shuka analolalia lina tomato!