JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakati Bank moja inavamiwa nikapiga 112 nikajibiwa "Karibu jeshi la Police TZ kitengo cha dharura for Kiswahili press 1 for English press 2", nikabonyeza 1 Sauti ikasema "Kwa ajali za barabarani...
13 Reactions
54 Replies
21K Views
Huyu dada sina hata urafiki nae wala sijawai kumtongoza lakini!!!kila mwanaume anaemtongoza anamwambia yupo na Pedra buyer ndio mpenzi wake hivyo hana sababu ya kuwa na mwanaume mwingine hadi kwa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habarini za asubuhi! Natumai nyote mmeamka salama, Mimi nipo tayari kwa majukumu ya leo, yangu binafsi na ujenzi wa taifa langu pia. Hii itakuwa ni sehemu yetu ya kuamshana mapema kuwahi foleni...
4 Reactions
159 Replies
11K Views
Loh
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mbele yetu tunaelekea kwenye sherehe moja kubwa sana, sherehe hii itafanyika baada ya ukawa kutangazwa washindi katika kiti cha urais, sasa nimekuja kwenye jukwaa hili kutafuta binti wa kufanya...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Hey mamb vp natafuta marafk kutoka singida cz ndy mara ya kwnz kuja pnde hz....... Mawasiliano.... 0756393130....0717705457
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Happy birthday Karucee, enjoy every single moment of this very special day ~HAPPY BIRTHDAY TO YOU~
2 Reactions
42 Replies
3K Views
Nawashuku nyote kwa kampani ya kutosha japo ya muda mfupi katika uzi wangu wa kichina.hahahaa Cc~ Mr Hero DuppyConqueror Elli izzo idoyo Michael Matitu Preta marejesho na Chiu Mbarikiwe.
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Poleni na majukumu ya hapa na pale ya kutafuta mkate wa kila siku. Kuna kisa kimoja nakumbuka ilikuwa mwaka 2000 nilimuaproach manzi mmoja uko kijijini, mtoto alikuwa mzuri sana na alikuwa bado...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kodi ya nyumba ni moja ya vitu vinavyowanyima amani na usingizi wapangaji wengi duniani. Lakini wakishalipa kodi ya miezi sita au mwaka, miondoko ya wapangaji wengi mbele ya mwenye nyumba huwa...
2 Reactions
16 Replies
9K Views
Mambo vipi ndugu, Huyu jamaa wa kuitwa Musa allani napenda kumpongeza kwa ujasiri wake wa kuamua kumpa sapoti raisi wetu mtarajiwa ndugu ENL kupitia umoja mtakatifu UKAWA. Kipenzi cha watoto...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Najua kupitia kuchat tunaweza kushikirikishana vitu mbalimbali.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nilipewa mtihani wa kumchekesha jamaa mmoja ambaye hajawahi kucheka toka azaliwe. Nikawaza, nifanyeje hadi acheke!? Nikamfuata jamaa nikamuuliza ni chama gani kitashinda mwaka huu akasema ni...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari za mchana wanajamvi. Kichwa cha habari hapo juu chajieleza. Mwezi wa 10 mwaka huu mwizi wa siku nyingi ajulikanaye kwa jina CCM atazikwa rasmi. Kutokana na msiba huo naomba mwenye...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
CHEKA KIDOGO Majambazi waliliteka gari moja lililokuwa limesheheni abiria. Baada ya abiria kusachiwa na majambazi hao na kukutwa hawana pesa, majambazi wakasema kila mtu atapigwa viboko ( bakora...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Mwalimu mkuu alitembelewa na wageni idadi kadhaa, akawapa viti pia idadi kadhaa, wakaamua kukaa kama ifuatavyo: Wakikaa mmoja mmoja kwenye kila kiti mgeni mmoja anakosa kiti, Wakikaa watatu...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Kauli mbiu tata za uchaguzi Mkuu huu 2015.!! •Ccm.. tutashinda hata kwa goli la mkonooo___ √ Ukawa-Bao la mkono mwisho bafuni, mtaa kila mtu Lowasa. •Ccm ikulu anaingia john pombe...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mimi binafsi ingawa zipo scene nyingi sana sana sana zilizonigusa kwenye ile series ila tukio lililobahatika kuingia hapa ni pale agent Bauer alivotoa sadaka maisha ya Paul Raines ili aokoe maisha...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Mheshimiwa Mwenyekiti tume ya uchaguzi, Wapo vijana wanapiga kelele sana kwamba siku ya uchaguzi watataka kulinda kura zao. Mh jaji Lubuva, wasaidie hawa vijana kulinda kura zao. Ni rahisi sana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom