Natafuta binti wa kufanya nae sherehe

Natafuta binti wa kufanya nae sherehe

katusyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2013
Posts
1,455
Reaction score
434
Mbele yetu tunaelekea kwenye sherehe moja kubwa sana, sherehe hii itafanyika baada ya ukawa kutangazwa washindi katika kiti cha urais, sasa nimekuja kwenye jukwaa hili kutafuta binti wa kufanya nae sherehe.

Maana hii sherehe ni kuya kihistory kwahiyo si vizuri kushelekea pekeako akae kuwa wakwanza kujitokeza atapewa kipaumbele ilimradi awe mmoja kati ya vyama vishiriki (UKAWA).
 
Mkuu hadithi yako ni murua kwelikweli.Lakini hebu ihariri basi isomeke vizuri mkuu.
 
Watu kama nyie ndo mnakishushia hadhi kiswahili, inasikitisha sana.
 
thank you mkuu for points of correction coz hayo maneno yalikuwa yananichanganya
 
Watu wanao mix 'r' na 'l' wananikera shelehe ndo kitu gani sasa

Je? Kutokujua Vizuli Kiswahili Kutanikosesha Fursa Ya Kupata Mtu Wa Kujumuika Nae? Kama Ndio Hivyo Bas Naomba Uwe Mwalim Wangu Mdahuu Ili Nisije Nikakosa Mwenza Wa Kujumuika Nae, Kama Ni Fedha Nitakulipa
 
Shelehe= Sherehe
Ilimladi= Ili mradi
Kutangawa = Kutangazwa
Kuya kihistory = ni ya kihistoria
Pekeako = peke yako
Akae = atakayekuwa
Vishiliki =vishiriki

NAKUTAKIA UTAFUTAJI MWEMA

Mkuu napendekeza mtoa mada akung'ang'anie inawezekana kwako atajifunza vingi.
Mfikirie tu.....kila la kheri
 
Lugha yetu tu ni tatizo acha tu na za wenzetu zitushinde, Ila hakikisha mfukoni unaeleweka.
 
Back
Top Bottom