Mh Jaji Mstaafu Lubuva,Wasaidie hawa vijana siku ya Uchaguzi.

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,244
4,258
Mheshimiwa Mwenyekiti tume ya uchaguzi,
Wapo vijana wanapiga kelele sana kwamba siku ya uchaguzi watataka kulinda
kura zao.

Mh jaji Lubuva, wasaidie hawa vijana kulinda kura zao. Ni rahisi sana mheshimiwa.

Fanya hivi: Yale maboksi ya kuwekea kura safari hii yafanye yawe makubwa kiasi cha kuwaweka
vijana wawili kwenye kila boks, yaani vijana wawili wakishapiga kura watumbukie
kwenye hilo boks na kura zao.Wakiwa ndani ya hilo boks bila shaka watazilinda
hizo kura vizuri sana.

Hii mheshimiwa itasaidia kuondoa malalamiko kwamba kura zimeibiwa.
 
Back
Top Bottom