JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 9 alikuwa anahitaji sana sh. 100,000 (laki moja), akamuuliza mama yake ni jinsi gani anaweza kupata pesa hizo. Mama yake akamwambia "muombe" Mungu atakupatia...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
MWANDISHI: Wewe unawalisha ng'ombe chakula gani?, MASANJA: Ng'ombe yupi Mweupe au Mwekundu? MWANDISHI: Ng'ombe mweupe MASANJA: Ninamlisha nyasi na viguta vya mahindi, MWANDISHI: Na mwekundu...
14 Reactions
20 Replies
9K Views
Wakati Mbowe anawakutanisha Lowassa na Sumaye jana, leo Jakaya anawakutanisha Diamond na Wema Sepetu Jangwani!! CCM bhana!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimeokota Samsung s5 leo kwenye daladala.. ni nyeusi, ina 32gb pia ina cover black ..kama umeipoteza please niinbox mana naitaji charger
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hodi wana MMU, Tujuzane wimbo ambao umemchagulia mpenzi wako ambapo simu yako ikiita tu lazima usisimke na uache kila unachofanya.Mimi niliedit wimbo wa Manesa Sanga "CHAGUO LAKO" coz nategemea...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Dogo jitayarishe kuondoka, ndo nakujah eei! Hamna noma, si unajua mambo ya madili!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
1. Half mile 2. Quarter mile 3. Mabanzi 4. .........
1 Reactions
41 Replies
7K Views
Dada kamshawishi jamaa yangu kuwa mzimbabwe anataka kuoa na anamuachisha kazi...thats why jamaa yangu ka volunteer kuwa translator.. Sasa dada kaiacha simu kaenda kutoa huduma, broo kaingia deep...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
What makes the letter "J" very special is;-JESUS was born in JUDEA which is in JERUSALEM, His father was JOSEPH the son of JACOB. He was baptised by JOHN the baptist in the most popular river...
0 Reactions
46 Replies
7K Views
Kuna mshkaji hapa job anasema hakuna moto wala hukumu ya binadamu ni bata duniani bata mbinguni/peponi hiyo bata ni kwa wote.
0 Reactions
4 Replies
999 Views
Ooooooooooooh!! Dedx: Ditto ~ Tushukuru kwa yote!! Kwa pamoja tutazame hapa tulipoooo... Inatuonyesha picha ya mbali huko tuendakooo...... Mpenzi._....... Mengi utasikiaaa...
1 Reactions
100 Replies
8K Views
wapendwa wale wenzangu niko moshi kwa mda natafuta sehemu ya kula bata nielekeze maeneo mazuri ninayoweza kula bata vizur niburudike hata na mtoto wa kichaga kidogo
0 Reactions
9 Replies
5K Views
CHACHA WANGWE ALIKUFA CHAMA KIKAENDELEA KUWA IMARA ZITO AKANUNULIWA CHAMA KIKAENDELEA KUWA IMARA LIPUMBA AKASEPA UKAWA IKASIMAMA AKASAJILI MESI AMESAJIRI MARADONA DAH!...hebu taja tukio...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari za weekend wanajamvi.hope wote ni wazima kwa uwezo wa Mungu. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza iko hvi kuna rafiki yangu (mvulana)aliniomba kumsaidia kupata namba ya Shigongo...
1 Reactions
9 Replies
8K Views
Nimevurugwa mwenzenu hapa nilipo sina usingizi na wala sijisikii kufanya lolote nimetafuta sehemu yenye Bar nikapoteze mawazo lakini hakuna iliyowazi muda huu. Kwanini mimi lakini?
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kama utafanikiwa kuangalia taarifa ya habari ukumbuke kuniangalizia na yangu maana hapa getto siioni
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani, baada ya kujenga hili kaburi la mpendwa wetu, tunaomba ndugu Kishati aongee maneno mawili matatu... Kishati: Kiukweli haka ka kaburi kametokelezea mno, duh!!! yaani hadi kanahamasisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hiyo ni kauli ya member mwenzetu bi. Kikongwe, the lone widow, Faizafoxy. Husema hivyo pale ambapo baadhi ya wanajukwaa wanapoandika makosa katika michango yao. Kiukweli makosa mengine ya...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Ujumbe umefika kwa muhusika.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Back
Top Bottom