mgosi9
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,581
- 261
Nilipewa mtihani wa kumchekesha jamaa mmoja ambaye hajawahi kucheka toka azaliwe. Nikawaza, nifanyeje hadi acheke!?
Nikamfuata jamaa nikamuuliza ni chama gani kitashinda mwaka huu akasema ni UKAWA, nikamwambia katika uchaguzi mwaka huu CCM lazima washinde, jamaa kusikia hivyo alicheka hadi akazirai akijua kuwa ni kichekesho.