Pedra buyer
Member
- Apr 26, 2015
- 97
- 32
Huyu dada sina hata urafiki nae wala sijawai kumtongoza lakini!!!kila mwanaume anaemtongoza anamwambia yupo na Pedra buyer ndio mpenzi wake hivyo hana sababu ya kuwa na mwanaume mwingine hadi kwa wanawake wenzake anawaambia yupo na mimi.Nauliza ndo kupendwa huko au ni sababu zake za kuzugia asisumbuliwe.Wazoefu nipeni idea.