nime amin mahal sahih pakutoa strees n club

nime amin mahal sahih pakutoa strees n club

mt.j

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2014
Posts
284
Reaction score
282
jaman nimeboreka sana leo kupitia simu ya wifi/shemej yenu nkaona ngoja nitafte mahal pakupotezea mda maana nilikuwa katka safar nkaona nkilala gest ntalala kwa mawazo kwel nikaijiwa na wazo la kutaft club amby ntakesha had asubuh njipandie zangu gari, nafurah sana kusema dj anatupia nyimbo ambaz znanikuna na kufanya niwek mawaz mifukon yan naenjoy kwl.sijajua asubuh ntakuwa kwenye hal gan ila kwa sasa naenjy kupta maelez najichezea zangu mwenyew na kinywaj baridiii jap nahis hasir na maamuz amby ningeyatoa kwa sasa naweya kuyapotezea
 
Back
Top Bottom