Jamani tuwasaidie bodaboda wanapata hasara

Jamani tuwasaidie bodaboda wanapata hasara

LWENYI

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
1,839
Reaction score
2,175
Wanajamvi heshima mbele!

Kuna kitu nilikiona siku moja nikaona nifanye utafiti mdogo kuhusu hawa waendesha bodaboda, findings ni kama zifuatazo;

Boda boda hawa wamekua wakitoa misamaha holela ya nauli kwa wateja wa kike mbaya Zaidi hata kama hawawajui wao wakifika kituoni mdada wa watu anatoa nauli bodaboda anamwambia acha tu usijali mtoto mzuri ��

Lakini kuna mmoja ambaye namfahamu na hadi kwao amekua ni mtu ambaye ana migogoro na mkewe ya kutotoa pesha toshelevu ya matumizi nyumbani na bado anatoa misamaha hiyo ya nauli kweli jamani huu ni uungwana?

Rai kwa dada zangu hapa jamvini tuwasaidie hawa watu hata akikusamehe nauli wewe mpe anaihitaji sana na pia acheni kuwapa vishawishi hawa watu jamani wana familia na watoto hivyo nauli hiyo ni muhimu sana kuliko unavyodhani.

NB: Mnawachanganya sana mnavowakumbatia na kuwarembulia ndio maana haya yanakithiri pia tuwasaidie wakuze vipato vyao jamani hawa watu

Asanteni
 
Dah Umenikumbusha Maraha Ya Kuendesha Bodaboda.Jamani Mie
 
Ngoja waje....Wengine wamejiajiri huko kwa sababu ya huo mkumbatio.....Unafikiri kwa siku atapata ngapi na za aina gani. Kuna kijiwe nilisikia wanaambiana namna ya kumsogeza mwenye saa 6 ili ziwaguse mgongoni, wanashika breki ghafla hasa kwenye kushuka kilima (Wadada hapa watanidhibitishia hasa kama saa 6)... Nafikiri ndio maana rafiki yao mkubwa ni kiroba.
 
hizo hasara wapate tu maana hamna namna nyingine sasa
 
Ngoja waje....Wengine wamejiajiri huko kwa sababu ya huo mkumbatio.....Unafikiri kwa siku atapata ngapi na za aina gani. Kuna kijiwe nilisikia wanaambiana namna ya kumsogeza mwenye saa 6 ili ziwaguse mgongoni, wanashika breki ghafla hasa kwenye kushuka kilima (Wadada hapa watanidhibitishia hasa kama saa 6)... Nafikiri ndio maana rafiki yao mkubwa ni kiroba.

Dah mkuu kama hizi ndo mentality zao kwakweli kazi ipo.....kwann hawajionei huruma lakini?
 
Ukiwa bodaboda huna kanuni wala principles zozote unazozifuata ktk life experience. Days comes and passes softly
 
Mkuu unataka tuwasaidiaje maana wako wengi...
Tufanye maandamano au???
 
Mkuu unataka tuwasaidiaje maana wako wengi...
Tufanye maandamano au???

The simplest way ni kukataa msamaha huo wa nauli kiungwana tu...na akikupa nafasi mpe hata klsomo kidogo kwanini achukue nauli yake mafuta yanapanda bei na watoto michango shule ni mingi jamani
 
Mbaya zaidi wanapigwa kweli kuhusu wake za watu, ila hawakomi tu, na hata waendesha bajaji pia. Sijui ni laana ama, hata sielewi. Nitamuelewesha my ubavu ajaye, awe anawapa nauli, akikataa amkemee kwa jina kuu la Yesu, na kumuelewesha pia.
Ahsante!
 
Binafsi naamini upo sahihi kabisa, hasa ukizingatia wengi waendeshaji ni vijana wadogo, na ndio maana wanashawishiana sana kunywa viroba na kuvuta bangi kwa sana, japo wapo pia watu wazima ndani yao. Halafu sio wote ni hawajielewi, wapo niliowashuhudia, wanafanya shughuli zao kwa adabu na familia zao zipo na afadhali, hata lugha zao ni za kuvutia wateja.
Ahsante!


Ukiwa bodaboda huna kanuni wala principles zozote unazozifuata ktk life experience. Days comes and passes softly
 
Mbaya zaidi wanapigwa kweli kuhusu wake za watu, ila hawakomi tu, na hata waendesha bajaji pia. Sijui ni laana ama, hata sielewi. Nitamuelewesha my ubavu ajaye, awe anawapa nauli, akikataa amkemee kwa jina kuu la Yesu, na kumuelewesha pia.
Ahsante!

Na Mungu atakubariki kwakweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom