Tumefanya kazi wee lakini wapi

Tumefanya kazi wee lakini wapi

Mchuja Nafaka G

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2014
Posts
763
Reaction score
253
Wazee wetu wamepiga sana kazi, kulima mashamba makubwa, kupasua mbao kwa msumeno, kutembea umbali mrefu kusaka huduma mbalimbali. Na hili jumlisha kula vyakula vya asili ilipelekea sana kugongewa mke ni siri ya ndani. Saizi vijana wanashinda mjini mshahara 450,000/- mchana unakula chips kugongewa mke sio siri ya ndani tena kubonya laptop kutwa unakubali "HAPA KAZI TU"

Elimu ya kukariri tu, kilichobaki watoto wetu wapate elimu bora na hilo litatekelezwa na UKAWA.
Unajiita msomi upo university lakini siku ya semina mwanawani bila viroba haupandi stejini kushusha uliyokremu.

Okoa kizazi chako "CHAGUA UKAWA"
 
Nadhani ujumbeuhimu hapo ni "CHAGUA UKAWA KURA KWA LOWASA"
 
Mkuu mshahara wa laki nne na nusu ni mkubwa mno mfanyakazi wa serikali anapata 265,000/- kabla ya makato , matumizi utajua mwenyewe.
 
Back
Top Bottom