Bak

Bak

Yegomasika

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2009
Posts
13,164
Reaction score
61,278
This guy has gone AWOL for sometime now. Where are you, dude?. You changed your ID or something!. BAK
 
Last edited by a moderator:
Na utafiti pia jamani hawa watu sijui wamepotelea wapi!
Alianza utafiti kisha BAK..
 
Last edited by a moderator:
Huyu mdau kwa kweli nimemiss mno.Ukichunguza sana michango yake
hapa hasa jinsi alivokuwa na ufahamu wa muziki ninapata wazo kwamba
alikuwa mmoja wa wasanii maarufu hapa nchini. Kwa hali hiyo huenda yuko
kwenye misafara ya kampeni za vyama.
Wish you all the luck BAK!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom