Wanaume wangekosa nguvu za kiume kabisa! teh teh teh
kila mtu angekuwa ------- kwani mie naona jinsi hawa dada zetu jinsi siku zinavyooenda ndo jinsi hamu ya ku watamani inapungua .zamani nikiona paja nilikuwa nachanganyikiwa ,ikaasha baada ya mapaja meeengi kuwa wazi,ikaja sehemu kubwa ya kiuno kuwa wazi matamanio yakawepo then yakapotea na sasa vifua wazi au sehemu ya ziwa kuwa wazi naona dalili ya mwili wangu kuzoea imeanza hivyo naamini kabisa TUNGEKUWA TUNATEMBE UCHI HAKUNA AMBAYE ANGEMTAMANI MWENZIWE
Adam Na Hawa Walikua Tupu Katika Bustani Ya Eden Na Wakapata Watoto Kain Na Abel
Tungezikosaje sasa?