Natumaini wana jamvi mko poa na poleni na miangaiko ya hapa na pale ya kutafuta riziki...
Jumamosi ya leo nikaona sio mbaya tukikumbushana miaka hiyo ilikuwaje. Unakumbuka mafuta ya mgando ya...
Mwenye pesaaaa...
1.anayeweza kulipia dstv premium hata ifikie 500k
2.ambaye halalamiki jf eti dstv wamepandisha
3.lazma umiliki gari lisilopungua 45mil
4.unampeleka dem mall za maana...
Tupige kampeni hata za MTU kwa MTU ,Jana nilikuwa NA Mchepuko mazungumzo yalikuwa kama ifuatayo.
Mimi. Baby umejiandikisha?!
Mchepuko: ndiyo.
Mimi: baby unanipenda?!
Mchepko: ndiyo nakupenda...
yawezekena ulitembelea kabila lolote ambalo sio kabila lako ukakutana na menyu/msosi ambao hujawahi kuupiga hata cku moja, embu tupia hapa tuone...
mi naanza
WASUKUMA...... MCHEMBE
Jamani e! Naombeni ushauli wenu, maana kuna uyo msichana hajawahi kuniona wala mie kumwona lakini anajishobosha kwenye simu, isitoshe ni mdogo ake lafiki angu.
Mke wangu charty natumaini u mzima wa afya.
Nimekuwa bize sana mwezi wote wa September.Kama nilivyokuaga nimepewa jukumu la kuakikisha Lowassa anaingia Ikulu leo tupo huku Monduli mzee Lowassa...
John aliingia chumbani kwa mama ambaye ndiyo tajiri yake bila kupiga hodi na ikawa hivi
Mama: Wewe John mbona unaingia chumbani kwangu bila kupiga hodi???
John: Kwani kuna ubaya mama...
Hapa unatupia kitu cha ajabu sana ambacho uliwahi kuambiwa/kufanyiwa na mpenzi wako wa zaman au wa sasa na kikakuacha mdomo wazi. MIMI naanza........ 'Baby naomba unibebe nimechoka' afu akakaa...
Umekutana na mrembo au mwanaume jf..mkazoeana na kupendana kwa pm tuu..
Siku mnaamua kupanga kukutana, mnakubaliana mkutane maeneo fulani, wewe unawahi kufika kabla yake..kwa mbali unaona ni mke...
Jamani..
Baada ya uchunguzi wangu wa muda mrefu nami nimelileta kwenu,, sijawahi muona Mzungu mwenye mwanya, utafiti unanifanya nianze amini huu ni ugonjwa wa Afrika tuu. Je, we umewahi muona...
Narudi safari hapa, nafika nyumbani kufungua friji nakutana na vifaranga vya kuku wakat mimi niliweka mayai!
Tanesco ipo siku tutajatoana roho haki ya nani tena..
Maongezi Ya Madada Wawili Waliokuwa Ndani Ya Gari Linaloenda Mkoa Yalikuwa Hivi
Da 1: Hivi wewe unapenda kuolewa na mwanaume gani?
Da 2: Namtaka BILLIONEA
Da 1: Je, Ukimkosa?
Da 2: Bas...
Wakuu nawakaribisheni wote katika mradi wangu mkubwa wa bar & restaurant ujulikanao kwa jina la JF Bar & Restaurant. hapa Kinondoni.
Karibuni mje mkate kiu kwa kupata mvinyo,pombe,juice,baga na...
Sisi hapa Mwanza sidhani hata kama zimefika bar 7. Maana ikifika asubuhi tu wamekata na kuurudisha ni mpaka saa kumi na mbili jioni. Nasikia Dar zimefika bar 52, hivi ni kweli? Maana bwana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.