Back to school!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
Nilipokuwa shule ya msingi, kuanzia darasa la 4
hadi la 7 maksi zangu za hesabu kwenye mitihani
zilikuwa zinacheza kwenye 03%-
08%. Matokeo yalikuwa yanatangazwa mbele ya
darasa!
Yanapotangazwa mwalimu anaanza kuwaita
wanafunzi kwa kuanzia
maksi za chini kwenda juu (0-100),
kwahiyo darasa lote linajua makaratasi yakiletwa
lazima niitwe
kama si wa kwanza basi wa pili toka chini.
Siku moja mwalimu akaanza kuita majina, mpaka
akafikia kwenye maksi 30%,40%,50%,60%,70%
bado tu mi hajaniita.
Watu wakaanza kuniangalia waliokuwa karibu
wakaanza
kuniuliza..."" Eeeh umepasua hujaitwa,
ilikuwaje??
Nlianza kuvimba kichwa, huku mwalimu
anaendelea kugawa tu makaratasi.
Yakabaki makaratasi ya watu wawili tu waliopata
80%-90% bado mi sijaitwa ...
Mara akabaki na karatasi moja mkononi...!!!!
Darasa lote macho kwangu hawaamini
kinachotokea maana bado
sijapata karatasi..
Mwishoni mwalimu akaangalia juu akashusha
pumzi, kisha
akasema... "KUNA NGUCHIRO hajaandika jina
kapata 0% aje kuchukua karatasi lake!!.😜😄🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
 
Dah hesabu za primary ni qwikwiii
Nakumbuka nilipataga 30% walinikoma maaana
Ilikuwa qwikwiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom