COARTEM
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 3,598
- 3,644
Swali: CCM imeongoza Tanzania kwa miaka mingapi?.
UKAWA (jibu): maCCM yametutawala na kutunyonya kwa miaka 50.
Swali: Hiyo miaka 50 imepatikanaje?
UKAWA (jibu): wewe vipi? Chukua mwaka 2015 - mwaka 1961 [mwaka wa Uhuru]= 54 years, of which is equivalent to 50 yrs.
Swali: Tukiweka kumbukumbu sawa, mpaka leo hii CCM inatawala nchi hii kwa miaka 38= {2015-1977}; hiyo hesabu yako bwana UKAWA umeitoa wapi?.
UKAWA(jibu): Ngoja nimuulize Tundu Lissu na Mbowe maana hawa ndiyo wamenikaririsha hiyo hesabu ya jibu la 50.
Swali: Kwanini unawadanganya wananchi namna hiyo? Sikia UKAWA toka mwaka 1961 hadi Mwaka 1977(miaka 16) Tanganyika iliongozwa na TANU. Huko Zanzibar toka mwaka 1964 hadi 1977 (miaka 13) Zanzibar iliongozwa na ASP. Tarehe 5/2/1977 TANU na ASP ziliungana na kuunda CCM. Kwahiyo CCM ilianza kuongoza nchi hii kuanzia mwaka 1977. Haya bwana UKAWA sasa rudi tena kwa wananchi ukawaeleze miaka halisi ya utawala wa CCM sawa?
UKAWA (jibu): Sawa mkuu, nitamuomba mwana CCM mwenzao LOWASSA aliyehamia CHADEMA atusafishe kwa huu uongo tulioueneza kwa Wananchi.