JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
If u are given 800 million to Never have sex again in your life, will you accept or turn down the offer? Send to your friends and get funny answers but reply to me first...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika makontena yalokamatwa bandarini, moja wapo ni langu. Naomba unisamehe Magufuli, nimekoma
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Yan siku hizi mtu hata unaogopa kuolewa ..yan watu wanalia na kulalamikia ndoa zao dooooh...mungu asaidie kizazi chetu tuu
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakati nikiwa katika shule ya msingi baadhi ya kauli za walimu darasani zilizokua zinaniudhi na kunikatisha tamaa ni zifuatazo:- 1. mkimaliza kuongea nambieni niendelee kufundisha. 2. baba yako...
4 Reactions
63 Replies
19K Views
wanadamu tumeumbwa kupenda au kupendwa binafsi enzi zangu nasoma shule ya sekondari kuna madamu "stella" nilikuwa namzimia sana ila woga tu ndo ulinitatiza,hebu niambie na wewe enzi zako ni...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwa nini wanaume wengi hulizwa? Kwa nini tunamawazo? Jamani kwa nini wanaume tuna wivu?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hii inahusu ule wakati demu majeshi yameshasalimu amri na tayari unaye chumbani kumnogoa, kuna maneno maneno mimi huyaita "the last words" ambayo mademu husema kabla ya mchezo kuanza. Haya hapa ni...
1 Reactions
64 Replies
18K Views
hellow mum Erotica, kwanza hongera na pole kwa kuwalea hao mapacha tumboni. nawaomba wana chitchat tumsaidie kumchagulia majina ya twins wake. mi napendekeza majina haya. . . 1. patrick &...
8 Reactions
66 Replies
32K Views
Mara nyingi kitu chochote kitokapo nje ya nchi hutafsiriwa kuwa ni cha"KISASA" pale tu kiingiapo ndani ya Nchi kama vile maembe,kuku,na mengineyo mengi,sasa na hivi wanavyochukua kwetu na kupeleka...
0 Reactions
1 Replies
785 Views
Nyumba nyingine bwana kila ukizitimbelea fridge lina maji tu hakuna kinywaji kingine, sasa hilo fridge au sim-tanki? loh!! mniache sifugi samaki tumboni mie.
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Hiv mmeshatufanya sisi ATM...?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa takribani wiki tatu sasa, na hii inakwenda ya nne kumekuwa na maajabu makubwa na ya kutukuka nchini Tanzania. Kwa uchunguzi mdogo sana uliofanyika umegundua yafuatayo: Kumbi nyingi za...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Nakushukuru Mungu kwa kuniongezea mwaka mwingine maishani mwangu, najua sikustahili kabisa ila kwa neema yako tu, kipekee nakushukuru kwa kuniwezesha kutimiza malengo yangu yote niliyojipangia kwa...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Ni mda mrefu sijawaona hawa jamaa sijui wako wapi. Eshy m.s , CYBERTEQ Bulldog lawmaina The secretary, Shy land
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamvi habarini, nimekuwa nje ya mji kwa muda mrefu kidogo sasa huu ushamba wa kuja mjini usinifanye nikurupuke nikaumia imebidi nije kuwasilisha swali langu kwenu wenyeji. Nahitaji kufahamu...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu, Jana nilinunua chapati 2 za sh.600, lakini nilitoa elfu moja kwa mama muuzaji, cha ajabu hakunirudishia chenji yangu sh.400, akanidhulumu pesa yangu. Lazima nikamshitaki kwa Pilato, jasho...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Raha ya jipu litumbuiwe toa usaha na damu chafu kisha paka dawa na kusafisha.Halafu unalifunga ili isipatikane upenyo wa kutoka damu tena mpaka linapona.Na kama yapo mengi linatummbuliwa moja...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau, Kumbe sio kila ukionacho unatakiwa kukitizama ukiwa unavuka barabara, muda huu nimesurika kugongwa na fuso la mchanga baada ya kuingia barabarani na kuanzaa kushangaa mdada mmoja aliekuwa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Voda wana mambo ya ajabu..embu piga *150*900#..Ujionee mwenyewe......
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama title inavyosema mwaka 2015 ndo unaisha hivyo je kama mwana jf jukwaa gani limekufanya ulipende zaidi ya mengine na kwa sababu gani na pia limefanyia kitu gani cha tofauti katika maisha yako ?
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Back
Top Bottom