Nimedhulumiwa pesa zangu inaniuma sana jamani

Nimedhulumiwa pesa zangu inaniuma sana jamani

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2015
Posts
2,567
Reaction score
419
Wakuu,

Jana nilinunua chapati 2 za sh.600, lakini nilitoa elfu moja kwa mama muuzaji, cha ajabu hakunirudishia chenji yangu sh.400, akanidhulumu pesa yangu.

Lazima nikamshitaki kwa Pilato, jasho langu haliliwi.
 
Kama Vipi Nitumie 1000 Ili Nikupe Taratibu Za Kufungua Kesi Ili Khaki Yako Isipotee Bure.
 
Umedhulumiwa kivipi? Badala ya kuomba chenji yako unakimbilia kumshitaki!! Kama alikuwa kasahau tu?
 
Hii Vocha uliotumia hapa kufiisha machungu yako naamini imezidi hiyo 400 Ongera kwa Mahesabu....
 
na huku internet umelipia shilingi ngapi eti K 4 LIFE
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom