Proverbs
Member
- Oct 19, 2015
- 5
- 1
Wanajamvi habarini, nimekuwa nje ya mji kwa muda mrefu kidogo sasa huu ushamba wa kuja mjini usinifanye nikurupuke nikaumia imebidi nije kuwasilisha swali langu kwenu wenyeji.
Nahitaji kufahamu music club ambayo inapatikana maeneo ya temeke na karibu karibu na huko. Vigezo ni usalama kwanza, sio wanajaa wahuni kukabwa nje nje, iwe imechangamka , DJ wawe vizuri nk
Naomba kufahamishwa