Wa kisasa

Wa kisasa

Uhuru24

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
4,523
Reaction score
5,160
Mara nyingi kitu chochote kitokapo nje ya nchi hutafsiriwa kuwa ni cha"KISASA" pale tu kiingiapo ndani ya Nchi kama vile maembe,kuku,na mengineyo mengi,sasa na hivi wanavyochukua kwetu na kupeleka kwao nao wanasema vya kisasa?au wanasema vimetoka AFRICA.
 
Back
Top Bottom