Raha ya jipu....

Raha ya jipu....

Uungwana Vitendo

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2013
Posts
1,344
Reaction score
531
Raha ya jipu litumbuiwe toa usaha na damu chafu kisha paka dawa na kusafisha.Halafu unalifunga ili isipatikane upenyo wa kutoka damu tena mpaka linapona.Na kama yapo mengi linatummbuliwa moja moja.Tumbua
 
Yatumbuliwe tu yote😊Damu ilichafuka sana
 
Raha ya jipu litumbuiwe toa usaha na damu chafu kisha paka dawa na kusafisha.Halafu unalifunga ili isipatikane upenyo wa kutoka damu tena mpaka linapona.Na kama yapo mengi linatummbuliwa moja moja.Tumbua

Raha yake ni likikushika karibu na dyufyu au papuchi!
Raha ilioje jamani!
 
Back
Top Bottom