JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
habar wana jf hem naomba ushauri wenu,ni jambo gani hasa la awali kumuashiria au kumuonesha mtu(awe m/mke au m/mme) ambae umemzimikia ili aweze kubrainstorm kama unampenda
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari wanajf naomba kujua tabia za wanaume wa kimeru mana jirani yangu ni kwikwi
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Katika maisha, bila kujali ukubwa wa Elimu yako kitu kizuri ni udadisi na uchunguzi. Nimechemsha bongo langu nimepata sentence ifuatayo; Baada ya JOB tunakunywa POMBE. Tukigombana basi...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Anayefahamu hiyo kitu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana jf, Wenzangu, mimi swali langu ni Eti mapenzi bila sex inawezekana?
0 Reactions
43 Replies
3K Views
Wasalaam, kuna jamaa yangu anatarajia kufunga ndoa next week alikua anahitaji kujua ni hotel gani inayofaa kwa honeymoon huko lushoto.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wadau, Style ya Maghufuli ya Kupunguza gharama kwa kuhamisha kusudio la awali la michango au gharama husika limemtokea puani Bwana Harusi mmoja mkazi wa Sinza baada ya Wanakamati kutokubaliana...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nina furaha sana kuzaliwa siku tarehe kama ya leo nyundo kadhaa wana Jamiiforums wenzangu tujumuike pamoko (kama nimeshika mike naongea) 27-11 bila kusahau nasherekea siku moja na sista...
0 Reactions
81 Replies
8K Views
Moja ya stori
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana Jf mnaoishi dar tujuane hapa jaman Me niko sinza palestina
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wandugu, tiririka alichokosea Mchina kwenye product zake. Naanza, "hukuweka screen wiper kwenye helmet".
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Kwanini mwanawake anaumia usipompigia simu?Na ukimpigia anafurahia sana kama mtoto uliyemletea pipi!Kwani nao ni watoto?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mzungu: Hi bro, I need $100, wil pay u back on Monday. Mswahili: Kaka vipi, shwari? Dah hatuonani mzee, vipi mishe, mnatunyima nini, juzi nimekuona kwa mbali shavu dodo full kipupwe, siye tupo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
comment neno/sentensi ya kuchekesha ili mwenzio acheke comment itakayochekesha watu wengi zaidi ndo imeshinda. NB: ukiona comment imekuchekesha unai quote kama hivi mfano; imagine magufuli...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
DOGO: Mama Jana Baba Alikuja Na Mwanamke Na Akaanza Kumtoa Nguo Huku Akimuita Beib... BABA: Kwa Hasira Ebu Wacha Kuongea Na Chakula Mdomoni Wewe Mpumbavu Sana Khaa!!! MAMA: Eti Nini Hebu Endelea...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za weekend wadau ni muda sikuw active kutokana n matatizo ya hapa na pale hope mko poa niwatakie ijumaa njema kumbukeni hapa kazi tu
0 Reactions
1 Replies
927 Views
Kichwa cha habari hapo juu kinahusika sana. Hiki ni kibaraza cha wanawake wenzangu, wanaume haiwahusu kabisa maana hapa tunataka kumsengenya mtu, anayejijua kwamba ana ‘K’ ndiye ahusike hapa...
7 Reactions
83 Replies
7K Views
kwa anayefahamu lodge/hotel yenye huduma ya massage in dar
0 Reactions
2 Replies
2K Views
SPECIAL ANNOUNCEMENT. Wakuu, tarehe 5 December tutakua na special events kwa member wote wa jf itakua ni cocktail and mocktail party kuhusu venue itakua katika moja ya fukwe maarufu hapa Dar...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom