Happy birthday to me

Happy birthday to me

Lumbi9

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2014
Posts
8,794
Reaction score
12,623
Nakushukuru Mungu kwa kuniongezea mwaka mwingine maishani mwangu, najua sikustahili kabisa ila kwa neema yako tu, kipekee nakushukuru kwa kuniwezesha kutimiza malengo yangu yote niliyojipangia kwa mwaka huu mpaka kufikia tarehe ya leo, naomba nijalie mwaka mwingine wa baraka na kufunguliwa, najua ushapanga ila naomba kwako nikiamini u mwingi wa rehema, wala si kama nitakavyo mimi ila mapenzi yako yatimizwe. Amin.
 
Naona umetofautiana Siku moja tu na ALLY k,BTW
Happy birthday peterchoka,mungu akujaalie kila lililojema na akuepushe na madhira ya ulimwengu huu
 
Last edited by a moderator:
Thanks my sister Kimbley, na wote tuseme amen.
 
Last edited by a moderator:
Nakutakia birthday nyingi nyingine nzuri kama hii. Endelea kubarikiwa tena na tena wewe pamoja na uzao wako wote. Amen!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom