JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mahitaji yenu yamesababisha mafuriko kwenye gym...... Vijana wapo busy kujenga miili ya mazoezi.... Vifaa vya mazoezi kama raba, vyuma, kamba sasa vinauzika.... Vijana wanakimbia na kupiga...
7 Reactions
57 Replies
6K Views
Madomo zege na watu wengine wa kawaida technolojia inazidi kuturahisishia mambo kila kukicha, sio katika maisha ya kawaida ya kila siku hadi kwenye utongozaji. Nakumbuka zamani ulikuwa unatongoza...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
....................................
2 Reactions
5 Replies
948 Views
sitak mniulize umerud canada? nmechoka kujib . niliwaaga nkirud ntasema lakin siwez nkarud coz family haina mpango wa kurud. usiniulize swal hli kuanzia leo pls nmechoka
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Jamani tuwe wakweli tu, ndio kila mtu analo jambo ambalo akilikosa ndani ya kipindi fulani bac hawezi kuwa sawa mpaka akipate kwanza! Kwa kweli mimi ikipita siku sijaingia humu Jamii forum, ni...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Je mliwahi kujaribu kufanya mkate according to recipes nzuri lakini matokeo yako ni tofauti sana kulingana na zilizochapishwa mtandaoni? Picha hizo zitakuchekesha! Kama mnataka fuara zaidi Kabla...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Bado unasema Kiswahili ni lugha nyepesi eti kwa kuwa tunaelewana tu!!!? Tazama....... KIINGEREZA------KISWAHILI Device-------------Kitumi Photocopier------Kinukuzi... Duplicating Machine...
5 Reactions
6 Replies
5K Views
Am still trying to figure out what teachers in the primary schools we attended wanted from us. When they caned u and u didn't cry, they would again cane u for not crying. When they caned u and u...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna wakati wadada naona hawako seriously.... Unakuta mtu anaomba Mungu daily mpaka kwenye status anaandika "GOD BLESS MY RELATIONSHIP "Wakati huo ana date na wanaume 11......sasa si bora aseme...
7 Reactions
11 Replies
2K Views
Nilikuwa naangalia conversion rate ya post kwa wachangiaji wakubwa ishirini wa JF. Ni sawa na kumtafuta striker bora mwenye shot conversion rate kubwa. Nimeshangazwa kuona post za mshana jr...
13 Reactions
277 Replies
16K Views
Baba Caro alikutana kwenye hotel moja na jamaa aliekuwa anamdai kwa mda mrefu sana. Walivyokutana wakawa wamekaa meza moja Baba Caroo akuuliza jamaa deni lake jamaa akaapa hadi na Mungu hana pesa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
wakuu muda nipo maeneo ya mikumi naenda dar, ila nilipofika katikati ya mbuga nilikutana na kiumbe cha ajabu yaani ni twiga mwenye kichwa cha binadamu, ana jicho moja, ana miguu ya simba na alikua...
6 Reactions
58 Replies
6K Views
Mchungaji alisema: Mgeukie jirani yako na umwambie Mungu yu mwema. Waumini wote wakageukiana na kusema Mungu yu mwema. Mchungaji: Leo nitawaombea wale wote wasio zaa. Mgeukie mwenzio na...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
"...binafsi ninaomba radhi sana! Kwani sina pakushika wala pa kuanzia kimaisha... Natoka familia duni yenye UMASIKINI usio elezeka.. Hata hela ya kupika pilau mimi sina jamani leo sikukuu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kakubaliana vizuri na msichana fulani hivi kuwa aibuke gheto, mchizi kajipanga vizuri kabisa.... mara saa nne hivi mdada kasema hana nauli. Mshkaji kajikunja kamtumia Elfu tano maana mwenye shida...
11 Reactions
16 Replies
2K Views
1.Nyani haoni - valise miwani 2.Debe tupu - weka dengu 3.Maskini akipata - itaacha iba jumbani 4.Penye kuku wengi -Chinja bili au tatu 5.Asiyesikia la mkuu -Peleka yeye polisi 6.Penye wengi -...
6 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu, Jana maeneo ya Posta niliokota cheni ya almasi gramu 5. cha ajabu cheni hii ufanya mambo ya ajabu ajabu kuna wakati ugeuka na kuwa, mnyororo, ugeuka na kuwa kamba, ugeuka na kuwa gari au...
0 Reactions
59 Replies
6K Views
Mhindi aliambiwa amalizie methali za Kiswahili 1.Nyani haoni - valise miwani 2.Debe tupu - weka dengu 3.Maskini akipata - itaacha iba jumbani 4.Penye kuku wengi -Chinja bili au tatu 5.Asiyesikia...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kila nikizima taa na kuingia bed! Kuna mbwa wa jiran anakuja kweny dirisha langu na kubweka kwa kuunguruma!! Nikitoka nje sion kitu na pazia nimepandisha upand! Wakongwe nin maana ya Hii Mambo?
1 Reactions
52 Replies
8K Views
eeh mungu wape maisha mrefu wadada wanaowadharau wanaume wafupi,wanene,wabaya & wasio na pesa, waendelee kuchezewa na mahandsome na mabraza men hadi uzeeni...Aimee
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom