Nimepambana na nyati, kilikua ni kifo

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Jul 21, 2015
2,567
416
Wakuu jana nimepambana na nyati live kilikua ni kifo lakini nilifanikiwa kushinda mpaka nyati akatoka nduki, jana tulipata pancha Mikumi mida ya saa 9 mchana nilipokua nabadili tairi ya gari ghafla nilivamiwa na nyati hatari ikabidi mapambano yaanze nyati ni mziki hatari sana lakini kwa kutumia ujuzi wangu wa judo, karate na kungfu niliweza kumdhibiti nyati akatoka nduki huku akitoka damu puani, nilibadili tairi na kuendelea na safari.
 
ndo Maana ukatuuliza swali lisilo na maana.
eti kati ya nyati na nyoka kiboko bora nani?
umeshapata jibu unaanza fix eeh hautukusanyi
 
wakuu jana nimepambana na nyati live kilikua ni kifo lakini nilifanikiwa kushinda mpaka nyati akatoka nduki, jana tulipata pancha mikumi mida ya saa 9 mchana nilipokua nabadili tairi ya gari ghafla nilivamiwa na nyati hatari ikabidi mapambano yaanze nyati ni mziki hatari sana lakini kwa kutumia ujuzi wangu wa judo,karate,na kungfu niliweza kumdhibiti nyati akatoka nduki uku akitoka damu puani,nilibadili tairi na kuendelea na safari
Ndio uzuri wa kuwa NYUMBU nyati hawezi kukusumbua
 
wakuu jana nimepambana na nyati live kilikua ni kifo lakini nilifanikiwa kushinda mpaka nyati akatoka nduki, jana tulipata pancha mikumi mida ya saa 9 mchana nilipokua nabadili tairi ya gari ghafla nilivamiwa na nyati hatari ikabidi mapambano yaanze nyati ni mziki hatari sana lakini kwa kutumia ujuzi wangu wa judo,karate,na kungfu niliweza kumdhibiti nyati akatoka nduki uku akitoka damu puani,nilibadili tairi na kuendelea na safari
Mkuu hujaacha fix ,wanaokujua watanielewa namaanisha nini,
 
Me nilikuwa nimeshikilia lile tairi uliloliachia ghafla ili lisianguke huku nakunywa Mirinda ya kipaplipapli ahahahhahah
 
77fa32808c03d651bdb8c27c45c2b75b.jpg
 
Huwa sielewi unazungumziaga nini........unapenda wildlife eeeh.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom