Mchumba kanuna hapokei simu

Kigodoro

JF-Expert Member
Apr 25, 2014
1,660
1,679
Jamani kuna bidada jana kafanyiwa mchezo na mchumbake. Mchumba kampigia simu bidada huyu kwa namba mpya huku akibadili sauti na jina.
Akajifanya mshefa mpya kabisa wamepeana namba hivi karibuni. Dada bila ya kujua kuwa anaongea na mchumbake, mazungumzo yakaenda hivi:-
Kaka: hallo
Dada: hallo
Kaka: naongea na ....(akataja jina)
Dada: ndiyo ni mm.
Kaka: uko wapi siku hizi?
Dada: nipo dar
Dada: samahani naongea na nani?
Kaka: unaongea na...(jina fake)
Dada: na...(jina fake) tulionana wapi?
Kaka : tulionana pale supermarket (jina la super market anayopendelea kwenda)
Kaka: uko free kwa kutoka out?
Dada: aaah! Hebu nikumbushe vizuri jinsi tulivyokutana ndiyo nitakuwa huru zaidi kukueleza.
Kaka: hahahaha! Wewe ...(jina la mchumba). Mimi ni ...mchumbako hii ni namba yangu mpya. Nimebadilisha sauti tu. Kumbe hujui sauti ya mchumbako hadi leo?
Dada: kakata simu..

Basi jamaa anatwanga simu haipokelewi, anatuma sms hazijibiwi.
Kaja kunisimulia kisa kizima na kuniomba ushauri. Anauliza hivi hili ni kosa kubwa kiasi cha kumfanya mchumba anune kiasi hiki? Au anaona kaumbuka sasa anona aibu?

WanaMMU naombeni mawazo mujarabu ya kumpa huyu ndugu.
 
Umekula leo?!
 
Mkaushie huna kosa
 
Huyo mwanaume naye ni mpuuzi nahisi,acha tu huyo dada akereke hivyo! Kutojiamini
 
Jamani mchumba bado kakomaa tu. Sasa mpango ni kumpenyezea rupia kama buku 20 hivi ili kuondoa udhia. Akiendelea hatua itakayofuata ni kumtupilia mbali.
 
Back
Top Bottom