Sambusa kavu
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 803
- 1,284
Naapa kama nikienda tena Gongo la mboto basi nitapanda bodaboda ili kuepuka haya.Nilikuwa naamini mara nyingi wanaume wakwasi ndo wenye tabia hii chafu ya kuwabahishia wanawake kwenye daladala zilizojaa.
Ila jana jioni taliyonitokea sina hamu tena, mdada kajaaliwa kalio la haja kaja kusimamia mbele yangu kavaa nguo laini na hata chupi sidhani kama alivaa, nilimkwepa sana ili nisiingie kwenye aibu ila cha ajabu akanambia kaka si utulie tuu mbona unaweweseka wala usiwe na hofu mi nipo normal.
Mmh kilichofata baada ya hapo nilikoma maana kumkwepa tena nikawa nashindwa basi full kuniletea kalio lote, uzalendo ulinishinda pale alipoanza kunisugua sugua nalo hadi mstari wa ikweta nikaufeel, automatic dushe likajibusti na alipolihisi akageuka na kunitabasamia.
Hapo ndo nilipoishiwa pozi kabisa.Ila ol in ol nashukuru nilishinda majaribu maana kwa situation ile ningezalilika mda wowote ule na ningekuwa na tabia ya popo basi ningeshuka nae kumaliza mchezo kabisa.
KUANZIA LEO SIPANDI TENA DALADALA LILILOJAZA KUPITA KIASI