Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
HILI JOTO MH! UNAWEZA UKAJIKUTA UMEFIKA DUKANI UNAMWAMBIA MUUZAJI NIPATIE VOCHA BARIDI
Usijali nitakupunguzia zangu ili neno litimie kuwa umetoka ubavuni kwangu ... ama vp?Hahahahahah mkuu mbavu hazinaga spare ujue
Iyo nimegoma kiongozUsijali nitakupunguzia zangu ili neno litimie kuwa umetoka ubavuni kwangu ... ama vp?