JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Umeshawahi kuandika uzi kuhusu mtu hapa jf halafu huyo mtu akausoma na kukupigia na kukueleza kwanini umemuandika kwenye jf. Au umeshawahi kuusoma uzi hapa jf maelezo yake ni kama mambo...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari JF? Kuna uzi mmoja humu nimeusaka leo siuoni ili nitoe mrejesho, kifupi ulikuwa na namba nyingiiii za machangudoa wa jijini na nzuri zaidi members waliweka na wajihi wa Changu husika...
3 Reactions
51 Replies
5K Views
Mwanzilishi wa hili neno KUGEGEDA alikua anaitwa mzabzab , na alikua mtu maarufu sana humu MMU miaka hio ya 2012 kwa thread zake kabla ya kupotea ghafla. Yuko wapi mwenzetu huyu? Ni mtu ambaye...
5 Reactions
67 Replies
5K Views
sijui tuseme ni majob less au ni umbea, au ni malezi, au ni ulimbukeni.. unakuta mwanaume na akili zake ananua gazet la udaku afu anaanza kufuatilia habari ya diamond na zari au wema na idrisa au...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Nimeanza kufuatilia utamu huu tangu na tangu lakini hadi leo bilabila, kisngizio ni kwamba mie mtoto nitafute waoto wenzangu! Hawa wamama wanasahau kwamba kile sio kiatu kwamba wakitutunuku labda...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Poleni na majuku ya kulijenga taifa wana jf kama sio watanzania. Nia ya kuleta huu uzi ni kutaka kujua au kuangalia ni kwa jinsi gani computer au pc au...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
mara nyingi wanaume wenzangu wemekua wakileta thread wakilalamika humu mara oooh! napigwa sana mizinga! mara tumejuana jana tu leo anataka nimtumie laki mbili, mara ooh! jana tu nimempa 50, leo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
mtoto kamwita baba yake kumtonya sir moja hv na ikawa hv >mtoto : baba >baba : naam mwanangu >mtoto : nimesikia jirani akimwita mama honey na mama anamwita baby mara sweatheart. >baba : tatizo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Japo hatuonani kwa sura na wengi wetu wanatumia username feki lakini JamiiForums inatukutanisha kimawazo. Ni forum ambayo haikosi kitu utakasirika,utacheka,utafurahi n.k Lakini wapo members...
2 Reactions
177 Replies
11K Views
0 Reactions
0 Replies
765 Views
Sabakher Wadau; Hv Siku Ikitokea Ukaambiwa Kuwa Yule Mbaba Mwenye ID ya Mzama Chumvin Jamiiforums Ni Ndugu Yako Wa Damu Utafanyaje?? MATUS SITAKI
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Heshima yenu wakuuuu,Mkitaka kustarehe njooni KB tabata bima wakuuuu unakunywa bia kuna watoto wazuri na vijambio vyao wakuuu nilikuwa nimeacha bia mpaka Jana nimeirudia aiseee nimetembea...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Zamani mtu akiolewa humskii kama week hivi au mwezi ana honey munika. Sikuhizi harusi leo kesho ndio wa kwanza kuamka kabla yako unakutana mapicha Instagram. Yaani usiku wa honeymoon, saa kumi na...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Wakuu, nafuata ule msemo kuwa kama una silaha, hata bomu la maangamizi na adui anakusumbua, wewe tumia tu, kwa hiyo ni ujinga kuwa na ulimbo lakini ndege wanakusumbua na wewe unawaangalia. Sasa...
0 Reactions
33 Replies
2K Views
MAMBO YA KUJARIBU JARIBU OVYO. Jamaa kanunua kifaa cha kukamulia ng'ombe maziwa, alipofika kwake akasema ngoja nikijaribu, Akakivaa kwenye UUME Akawasha kikawa kinamtekenya mpaka akamwaga shahawa...
3 Reactions
8 Replies
4K Views
Sabakher Wadau; Baada Ya Kukutana Sana Hv Viumbe {Approximately 50} Nimeona Leo Nitoe Huduma Ya Kwanza Pale Unapokutana Au Kuisi Umekutana Na Jini! My Brothers And Sisters There Is No Any...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, Hii njia sio ya kawaida lakini najua ni effective. Mara nyingi wanaume tunakuwa na taarifa sahihi kuhusiana na tabia za wanawake, hasa ni wanawake wa aina gani wanafaa kuolewa, tena mbaya...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Hey guys! Natumai mko poa. Naomba kwa aliyeko mitaa ya Liverpool, tujulishane. Ni PM. Thanks.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mfano Siku Moja Umekaa Sehem Halafu Mara Anatokea Polisi Mdosi Anakuonyesha Na ID Anakwambia Ametumwa Kukukamata Na Uko Chini Ya Ulinzi, Na Ukiangalia kweli Kuna Kosa Fulani Ulifanya. Utafanyaje?
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu, Kuna best yangu anaishi Kimara mwisho jana usiku aliota anakimbizwa sana na vibwengo watu, jamaa alikimbia sana mpaka miguu ikagusa kisogoni lakini aliposhtuka usingizini mida ya saa 8...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…