JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Waumini watatu walikutana kwa siri na kuelezana matatizo yao ili waweze kuombeana. WA KWANZA: mimi tatizo langu ni wizi, kila nikimaliza ibada lazima niibe pesa za sadaka. WA PILI: Mimi tatizo...
12 Reactions
36 Replies
6K Views
Kutongoza hata kwa kamera tu: dada samahani naweza kukupiga picha Dada: ili iweje anko! Nataka kuja kuwaonyesha wanangu mama yao alivyokuwa enzi za ujana wake!.... ENDELEA MWENYEWE....
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanajamvi kama heading inavojieleza, Katika vitu huwa nakosa tafsiri sawia, ni suala zima la mapenzi yaani kuanguka penzini. Kweli usipofikiwa na hali ya kupenda au kumpenda mtu inakuwa hivi; Mtu...
8 Reactions
155 Replies
17K Views
wale wote waliopitia Musoma tech tujikumbushe kidogo maisha ya pale
0 Reactions
9 Replies
10K Views
Samahani mkuu ningependa kufahamishwa juu ya hili maana nasikia zamani mtu ukiwa ulaya huku nyumbani ilikuwa ni full heshima ila huko mbele watu walikua wanafanya kazi ya kubeba box na kutoa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Pale kuku wako anapokufa siku ya Pasaka
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wanachama wote wa JF ? na nawatakia siku njema wote.
0 Reactions
2 Replies
828 Views
Mchana wa leo naelekea Dom na private car je unawaza changia kidogo twende wote, akijitokeza bi mdada itapendeza gari linukie japo si lazima awe wa kike, ni inbox kama upo serious ni saa saba...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Dah vituko haviishi kwa hawa watu! Mara w amefanya hili mara lile! Nasikia siku hizi wake zenu wakiacha nazi ndani basi ni majanga. Mnaiba nazi kupita kiasi! Akiacha nazi nzima lazima aje akute...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Inakuwaje wanaume wa Dar tunatembe kimdebwedo kiasi hichi? Biblia yangu inasema tumeumbwa kwa mfano wa Mungu, siamini hata kidogo Mungu anatembea kivivu namna hii (walking aimlessly) wengine hujui...
0 Reactions
1K Replies
79K Views
Jason Borne na Chabruma, where are you? Nimemiss sana stori zenu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
MTEJA--Samaki bei gani? MUUZA--150! MTEJA--Mwisho? MUUZA--Mkiani! MTEJA--Mbona samki mwenyewe ka legea sana??. MUUZA--Muulize lamda alikua shoga baharini. MTEJA --Mbona una majibu ya shombo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau! kiukweli nilikuwa nasikia sifa za Dubai nikawa natamani kwenda kwa miaka kadhaa nimekuwa nikijpanga /kuweka pesa ya nauli mwezi Februari nikaona ofa ya FLYDUBAI 50% OFF nikakata tiketi ya...
2 Reactions
54 Replies
12K Views
1-huna uhakika na kula na una elfu moja pekee ulionayo unaamua kunywa viroba. 2-huna kitanda na unaamua kuoa hayo pia ni maamuzi magumu. 3-huna uwezo...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Kwako ewe mwenye msongo wa mawazo na wengineo Ushauri nasaha unahitajika kwa awa Binadamu...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Bana eeeh, Mi nna katabia kakuwaangalia sana wanawake sehemu za nyuma nikipishana nao...Haswa wale wanaovaa vibaya... Si peke yangu ni wanaume almost wote...Its a natural thing!! Nakumbuka when...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hi JF Baada ya mtifuano mkali kuendelea kati ya wadaslam Na wa mikoani na kuweka vita baridi sababu hakuna aliyeibuka mshindi. Hatimaye wa mikoani wamefikia uamuzi wa kutopeleka viazi ulaya na...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom