vampire_hunter007
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 1,034
- 2,599
Bana eeeh,
Mi nna katabia kakuwaangalia sana wanawake sehemu za nyuma nikipishana nao...Haswa wale wanaovaa vibaya... Si peke yangu ni wanaume almost wote...Its a natural thing!!
Nakumbuka when I was a teenager kuna siku natembea tembea mjini na mzee wangu tukawa tumekaa sehemu...Mara akapita mtoto kavaa kinguo laini cha kubana af nyuma si pa kitoto...Kwa macho yangu nikamuona mzee wangu akikodolea...Mzee noma sana...
Huwa nna trick nyingi nazitumia nisijulikane kuwa naangalia vijambio..Mfano nikiwa natembea barabarani mbele yangu akawa anakuja binti aliyenona, huwa kabla hajanipita nageuka nyuma kabisa kama vile namuangalia mtu...Akishanipita ananikuta tayari nimegeuka so nakodoloea weee..Na ninakuwa nimeepusha ile hali ya kugeuza shingo.....Maana vijana wa siku hizi hawana adabu...Mara unakuta video yako Instagram ukigeuza shingo kuangalia kijambio...
Au sometimes naangaliaaaa, hata akikata kona au akiondoka natuliza macho upande ule ule kwa dakika kadhaa kuonesha kuwa wala sikuwa nimekaza macho upande huo kumuangalia yeye
Sasa naandika uzi huu baada ya dakika chache zilizopita kushangazwa sana na mambo niliyoyashuhudia..Aisee kumbe hadi wanawake wenyewe kwa wenyewe huwa wanaangaliana vijambio ...Leo nimeshuhudia kwa macho yangu wanageuza macho kuangalia vijambio vya wanaopita njiani...
Ikabidi nifanye kauchunguzi kafasta fasta nikagundua kuwa kumbe ni wengi tu...Kumbe hata wao wanafanyaga hii kitu asee.....
Anyways, dont pay much attention to me...najiandikia tu apa