Umbea mtamu

Valentina

JF-Expert Member
Oct 12, 2013
24,685
28,769
Waumini watatu walikutana kwa siri na kuelezana matatizo yao ili waweze kuombeana.
WA KWANZA: mimi tatizo langu ni wizi, kila nikimaliza ibada lazima niibe pesa za sadaka.
WA PILI: Mimi tatizo langu ni wanawake yani nimeshalala na wake za watu wa waumini wenzangu.
WA TATU: akaanza kulia badala ya kuongea.
WENZAKE: We vipi unatatizo gani mbona unalia???
AKAJIBU: jamani mimi tatizo langu ni "umbea" haya yote tuliyoongea lazima nikaseme!
 
Inategemea bana kuna umbea mwingine hauathiri chochote zaidi ya ucheke utanue mapafu

Ule umbea wa msuto na uchochezi ndio mbaya
 
WA NNE akasema jamani nyie wote nimewarikodi video kwenye simu nawarusha YouTube Whatsup na Facebook..
 
Back
Top Bottom