Biashara nayo ni wito

pauli jm

JF-Expert Member
Mar 2, 2016
391
278
MTEJA--Samaki bei gani?

MUUZA--150!

MTEJA--Mwisho?

MUUZA--Mkiani!

MTEJA--Mbona samki mwenyewe ka legea sana??.

MUUZA--Muulize lamda alikua shoga baharini.

MTEJA --Mbona una majibu ya shombo sana !!

MUUZA--Kwasababu na uza samaki ingekuwa na uza sukari majibu yangu yange kuwa matam
 
Back
Top Bottom