Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,069
- 6,742
.
Long live JF.
Hizo ulizozitaja hapo zote ni sifa za Forum yoyote duniani.
Sio JF peke yake
Baelezee" a child is a parent of an adult" (psychodynamic) the past experience affects current behaviour.
acha na badilika:
.kuchangia mada ambayo hujaielewa,
.kuchukua maneno humu bila kutafiti uka apply
. kutukana kama comment hujaipenda(unaumia nini?)
. kitu kama hukipendi why ukitajetaje humu?(moyon unakitaka)
. uaichanganye mafile mada ya kitu kingine unaleta mambo tofauti na jukwaa lake lipo
Mekupenda buuureeeepicha natuma soon