DUBAI mbona pa kawaida mno? Shobo ya nini?

blessings

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
7,420
7,080
Wadau! kiukweli nilikuwa nasikia sifa za Dubai nikawa natamani kwenda kwa miaka kadhaa nimekuwa nikijpanga /kuweka pesa ya nauli mwezi Februari nikaona ofa ya FLYDUBAI 50% OFF nikakata tiketi ya kwenda huko kutalii daah nilipofika kiukweli tofauti na sifa zooote nilizokuwa nahadithiwa!

Nimekuta pa kawaida mno na vitu vingi mule ni (Artificial) tu. Hata "dada zetu" wabovu sana (sura & shepu ni msiba, wengi ni toka Nigeria & Kenya na bei ghali mno, 100 USD/one hour.

Kwa mtazamo wangu bora kwenda kutalii South Africa ambako mizigo ya maana, hasa wapenda MATINGINYA kuliko niliyoyaona Dubai. Kimsingi najutia pesa (Nauli = japo ilikuwa OFA 50% na malazi niliyolipia).
 
Wadau! kiukweli nilikuwa nasikia sifa za Dubai nikawa natamani kwenda kwa miaka kadhaa nimekuwa nikijpanga/kuweka pesa ya nauli mwezi februari nikaona ofa ya FLYDUBAI 50% OFF nikakata tiketi ya kwenda huko kutalii daah nilipofika kiukweli tofauti na sifa zooote nilizokuwa nahadithiwa! nimekuta pa kawaida mno na vitu vingi mule ni (Artificial) tu. Hata "dada zetu" wabovu sana (sura & shepu ni msiba, wengi ni toka Nigeria & Kenya na bei ghali mno, 100 USD/one hour, Kwa mtazamo wangu bora kwenda kutalii South Africa ambako mizigo ya maana, hasa wapenda MATINGINYA kuliko niliyoyaona Dubai. Kimsingi najutia pesa (Nauli = japo ilikuwa OFA 50% na malazi niliyolipia).
Sijaelewa ndo kusema kwamba Dubai ulienda kutafuta Malaya wa kiafrika
 
Wadau! kiukweli nilikuwa nasikia sifa za Dubai nikawa natamani kwenda kwa miaka kadhaa nimekuwa nikijpanga/kuweka pesa ya nauli mwezi februari nikaona ofa ya FLYDUBAI 50% OFF nikakata tiketi ya kwenda huko kutalii daah nilipofika kiukweli tofauti na sifa zooote nilizokuwa nahadithiwa! nimekuta pa kawaida mno na vitu vingi mule ni (Artificial) tu. Hata "dada zetu" wabovu sana (sura & shepu ni msiba, wengi ni toka Nigeria & Kenya na bei ghali mno, 100 USD/one hour, Kwa mtazamo wangu bora kwenda kutalii South Africa ambako mizigo ya maana, hasa wapenda MATINGINYA kuliko niliyoyaona Dubai. Kimsingi najutia pesa (Nauli = japo ilikuwa OFA 50% na malazi niliyolipia).
Duh wewe sio bleesing Ila majanga.
Hivi unatueleza ulikwenda Dubai kweli Au ile Dubai ya Mombasa.
Maana hata sifa nyingine za utalii wako Kama Burj khalifa,the fountain,Na palm island:Unatueleza machangu.?
Kwa taarifa yako Dubai kuna machangu wa kutoka dunia nzima Na kila taifa lina bei yake. Kama Ulikuwa Dubai kweli ulienda sehemu ya walala hoi Au walio choka.
 
Wadau! kiukweli nilikuwa nasikia sifa za Dubai nikawa natamani kwenda kwa miaka kadhaa nimekuwa nikijpanga/kuweka pesa ya nauli mwezi februari nikaona ofa ya FLYDUBAI 50% OFF nikakata tiketi ya kwenda huko kutalii daah nilipofika kiukweli tofauti na sifa zooote nilizokuwa nahadithiwa! nimekuta pa kawaida mno na vitu vingi mule ni (Artificial) tu. Hata "dada zetu" wabovu sana (sura & shepu ni msiba, wengi ni toka Nigeria & Kenya na bei ghali mno, 100 USD/one hour, Kwa mtazamo wangu bora kwenda kutalii South Africa ambako mizigo ya maana, hasa wapenda MATINGINYA kuliko niliyoyaona Dubai. Kimsingi najutia pesa (Nauli = japo ilikuwa OFA 50% na malazi niliyolipia).
Well said
 
PICHAZ DUBAI VS DAR

1-discover-all-that-is-possible-in-dubai.jpg

Dar_es_Salaam_at_a_bird's_view.jpg

downtown-dubai-cityscape.jpg

1171247_orig.png

5c187417-6d99-4a2a-a02a-d123932fb9bb.jpg

dar-es-salaam-city.jpg

DUBAI-559148539-ABOVE0116.jpg

Dsm_city.jpg

header-slider-1.jpg

internet-in-Dar%20es%20Salaam.jpg
 
sema tandika wana kwa zulu natali..soweto inawezekana na dubai ipo huko...umedunduliza tena kwa offer badala ya kuangalia fursa ili usiendelee kuishi kwa kudunduliza wewe umefata wanawake...miaka ya nyuma uhamiaji bongo walikua wanakuuliza maswali wao mambo ya hela ulionayo na unaenda kufanya nini wewe wangekudundisha...
 
Aha, kumbe unaongelea 'K' za Dubai vs za Sauzi na si mwonekano wa Dubai.
Sasa kama ni 'K' si ni bora ungeenda Babati kwa Wambulu au Kondoa kwa Warangi, au Lushoto kwa Wasambaa???
 
Back
Top Bottom