G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,596
- 36,018
Dah vituko haviishi kwa hawa watu! Mara w amefanya hili mara lile!
Nasikia siku hizi wake zenu wakiacha nazi ndani basi ni majanga. Mnaiba nazi kupita kiasi! Akiacha nazi nzima lazima aje akute imebaki nusu. Akiacha nusu akija haikuti! Mbona mnakuwa mizigo kila kona?
Sasa mngekuws mnaiba then mambo yatulie basi. Ndo kwanza malalamiko yanazidi kila siku! Acheni wake zenu watengenezee nazi vyakula sio kutia hasara kwa kila kitu! Ukila chakula bora mbona mambo yanajipa tu? Kuchunguliachungulia nazi wake zenu walizoweka akiba haina maana.
Kutwa kuacha kuhangaika na vipande vya mihogo pamoja na nazi njiani huku kukiwa hamna hata dalili ya kupungua kwa matatizo ya kindoa kwenye familia zenu!!