Mgomo wa mikoani kupeleka viazi Ulaya Dar

adden

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
7,033
15,616
Hi
JF
Baada ya mtifuano mkali kuendelea kati ya wadaslam
Na wa mikoani na kuweka vita baridi sababu hakuna aliyeibuka mshindi.
Hatimaye wa mikoani wamefikia uamuzi wa kutopeleka viazi ulaya na mihogo(chips dume) ukichukulia vyakula hvyo ndo pendwa na upatikanaji wake rahisi na bei yake rafik kwa walaji.
walifika mbali zaidi hata kuku wa kienyeji hawaTApelekwa dar ili waendelee kula kuku yatima(KISASA).
wanadiplomasia wameomba hawa hizi pande mbili wakae meza moja ya majadiliano waondoe tofauti zao ili vikwazo vipunguzwe km si kuondolewa.
hali tete
 
Gomeni kuleta mapochopocho hayo hapa mjini Mkose hata senti za kununulia mafuta ya taa huko mikoani...
 
we unaumwa dengue nin, kwani wew ndo unaicontrol hyo pesa au nyie viumbe wa dar ndo mnacontrol pesa? si tutapiga biashara wenyewe kwa wenyewe na tunamake pesa fresh, na bdo tunapiga wali, ugali, viaz, ndizi, mihogo,maharage, na kila aina ya msosi. nyie leteni masihara tuangushe kimkoa chenu hcho.
 
Hahaa..ndiyo akili zenu hizo watu wa mikoani..magonjwa na kula...hamfikirii hela.
Ndo maana mkiletewa buku 5000 au Ubwabwa wakati wa uchaguzi mnaonaga nyingiii..
 
we unaumwa dengue nin, kwani wew ndo unaicontrol hyo pesa au nyie viumbe wa dar ndo mnacontrol pesa? si tutapiga biashara wenyewe kwa wenyewe na tunamake pesa fresh, na bdo tunapiga wali, ugali, viaz, ndizi, mihogo,maharage, na kila aina ya msosi. nyie leteni masihara tuangushe kimkoa chenu hcho.
Mbona umepanik bro......kuwa mpole anakutania 2
 
Back
Top Bottom