Tukeshe wote

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
22,041
39,989
Habari za usiku huu.....

Niko off kwa wiki na nusu kisha narudi kibaruani. Niko nyumbani kwangu na jioni hii nimepata habari ambazo zimenichefua.

Gafla nimepata hamu ya kulewa. ... Nataka nileweeeee hadi pakuche cheee ndo nikalale.

Hapa niko full masnondo nina;
Gordon, John Walker blue label, Zanzi, Alter, Kamschana na Apple juice, ice cubes, lemon,
Jagi na glasi.

Nimetengeneza cocktail ya hivo vitu hapo juu. Natumai sitazima.

Kama hutojali tukeshe wote hapa. Nataka kulewa lewaa.

Cheers!!

Kasie.
 
Yay ! lakini ndiyo raha ya pombe, ila kuna mwana naye alifanya hivyohivyo akaishia kuanguka kilio kikubwa kwa siku tatu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom