Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,227
- 157,425
Nimetukanwa Kinyambe chako weee.
Mimi nilikuwa najua Kinyambe ni jina la mtu, kumbe ni tusi jamani.......
Daslamu matusi mengi jamani....
Wageni mwakaribishwa msijifunze mambo ya mji huu.
Ushoga, wizi, utapeli, ujambazi,umalaya,uwongo, uchafu na kutokumuogopa Mungu