Ni kuku au chakula cha kuku?

livelong

Member
May 1, 2016
69
73
Unaalika binti date alafu anakuja na maringio, eti oooohh sor!!!! Babe sitakula nikitoka home nilipitia TILAPIA HOTEL nikala kuku..
Wewe na ungentlemen wako unamnunulia whisky ya Jack Daniels ya sh. 50000/=
Baada ya binti wa watu kunywa mafundo kadhaaa anatapika makande na mahindi ya kuchoma.. doooh salaaalee
Hapo ndipo inabidi umuulize romantically "swrt are you sure ulikula kuku au ulikula chakula cha kuku"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom